Namsikitikia, He was my boyfriend

Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
weee mwanamke ulikwenda shule kusoma ama kutafuta wanaume? pumbaf kabisa
 
Bado naendelea kuamini hii stori ni ya uzushi....TUPA KULE!

Na huyu hapa chini ni mbishi wa kimataifa........ Hebu angalia hapo kwenye red....AKAUTANGAZIA UMMA WA WANAFUNZI.......... Mkuu unajua maana ya KUTANGAZA? na najua maana ya MBELE? na unajua maana ya UMMA? Kama hujui, basi endelea kumshauri kama alivyokusihi Lizzy hapo juu....

Mkuu kweli wewe una laser Sharp EYES yaani unaona hata vitu ambavyo havipo hebu nionyeshe kwenye hiyo paragraph yake wapi kuna neno MBELE, alafu nini maana ya neno UMMA je ina maana shule nzima, au hata wakiwepo wanafunzi kumi ni UMMA wa wanafunzi...,

Hata kama angeweka hilo neno mbele; Je angepigwa kibuti mbele ya wanafunzi takriban kumi kwenye ukumbi wa assemble je hiyo ingebadilisha na ikawa nyuma ya wanafunzi kumi na sio Umma wa wanafunzi.....???

Issue sio mimi kutoa ushauri issue ni wewe kusema kwamba mtoa mada ni muongo kwa kuchukua semantics ambazo haziko wide open kuonyesha meaning unayotaka wewe...
 
Mkuu kweli wewe una laser Sharp EYES yaani unaona hata vitu ambavyo havipo hebu nionyeshe kwenye hiyo paragraph yake wapi kuna neno MBELE, alafu nini maana ya neno UMMA je ina maana shule nzima, au hata wakiwepo wanafunzi kumi ni UMMA wa wanafunzi...,

Hata kama angeweka hilo neno mbele; Je angepigwa kibuti mbele ya wanafunzi takriban kumi kwenye ukumbi wa assemble je hiyo ingebadilisha na ikawa nyuma ya wanafunzi kumi na sio Umma wa wanafunzi.....???

Ngoja nami nisepe kama Lizzy........ we ni king'ang'anizi kama Mugabe.

Ngoja nikatafute dikshenare nijue maana ya neno Uma........... Sijajua kama linaendana na neno umati.... Nsije nikabishana kumbe hata watu wawili ni uma wa watu LOL
 
Hapana Mkuu; tueleweshane.., alafu hapa una-assume kwamba mtoa hoja ni gwiji wa kiswahili kama wewe, tunajuaje kama mtoa hoja haelewi tofauti ya umati na umma; na ni watu wangapi ndio wanaweza kuitwa Umma? na mtoa hoja amesema hivi "Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha." Na issue ya kuutangazia umma from the sentence above kuna full stop baada ya kupigwa kibuti...., je who is to say kwamba baada ya kupigwa kibuti ndio alianza kuspread the romours hence kuutangazia Umma (maybe hapa badala ya kumu-accuse mtu muongo bila facts za kutosha tungeweza kusema mtoa hoja hajui kiswahili)...

BY THE WAY...
UMMA Arabic word for community, especially the Islamic community. The Arabic word umma, derived from umm ("mother"), is a term used in Islam to denote the worldwide community of the faithful. In the twentieth century, the term was sometimes used by Arabs to mean "nation" in a political sense, both in global terms (the pan-Arab umma) and local terms (a specific nation).

Did you know that???....., I did not know that...???, But the Million Dollar Question is Did Nazjaz Know That?????
 
If you love someone set them free... if they will come back you ..it was meant.. if not, it was not!
chapa lapa!
How far are you sure if he is not going to damp you again???
 
Maisha ni kitendawili.. Maisha hayana formula..Maisha ni usiku wa giza..hujui kesho itakuwaje either u tajiri au masikini..

Nazjaz..nimeona umeguswa na maisha ya huyo rafiki yako...ndugu zangu tukumbuke wapenzi wetu na marafiki watabaki kuwa na status hiyo katika maisha yetu yote hata kama tutagombana au kuachana.. Pls. don't get me wrong..sijasema ushawishi wao kwenye maisha yetu ya sasa.. Nimesema status yao itabaki kuwa ni rafiki..yaani zaidi ya yule jirani yako usiyemjua..

Kumsaidia rafiki yako aliyefulia ni kitu cha kawaida..kwani kama una uwezo ni vizuri kumsaidia yeyote yule mwenye matatizo. Kikubwa cha kuangalia ni jinsi huyo jamaa atakavyochukulia uhusiano wa sasa.. kwani lazima hajue uhusiano umeshushwa toka AAA hadi A.. Kama hatoweza kubali hilo ni vyema kukaa pembeni kwani unaweza baadaye ukalia na kusaga meno..lakini kama akijishusha na kubali kule aliko na heshima idumu unaweza kumsaidia..

Mwisho..kumbuka teja ni mtu kama wewe ila yeye ni mgonjwa hivyo kuna possibility hata kama ni asilimia 1% anaweza pona na kupata maisha mapya.
 
You can fool some people sometimes but you cant fool all the people all the times. STOP LYING n TROLLING
 
Best unataka wanajf 2semeje ss.cjaelewa unatakaje.ila words ulzo2mia maanalec.
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
nazjaz kwanza nisamehe. ila me nimeguswa sana hii story.
be a human.please.hata kama humpendi tena kabisakabisa, huyo mtu anahitaji msaada.
sisi ni binadam, msaada sio lazima fedha au material.
hata ushauri, mtu aliepata div 1.4 form six PCB ni potential mno nazjaz.
na kiukweli unachohitaji ni kumbackup tu mtu kama huyo.kwanza akiomba mkopo anapata bila shaka yoyote na atasoma na atafaulu.please, me anakuomba msaidie.utabarikiwa na mungu, wala usihesabu ya nyuma.
huyo anchohitaji ni mawazotu ya kumrudisha katika trend, wala sio tab manake shule naiweza sana.ukimremind jinsi alivyokua na future nzuri, ukamweleza jinsi alivyoiharib,ukamweonesha uwezekano mkubwa sana wa kuweza kuiretain (ni kutu imechelewa ila ipo) kiukweli atazinduka.huyo ni kuatu amelala.
 
Mhhh so sad jamani,1.4 PCB,he was so brilliant,..try to reach to him jmn huwezi jua,akarudie shule atumie hko cheti,aende ht diploma o whatever
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

Hata mi imeniuma aisee Umejaribu kuongea nae japo hata Salamu, pole yake masikin! Maisha haya jamani nyie acheni tu! Daaah !
 
Sasa ndugu yangu unashangaa nini..uteja ni kama UKIMWI haubagui...nini form six point 4 ? kuna hadi maprofessa wameangukia kwenye uteja...na wasomi wa degree wengi tu....???? maisha ni saafari ndefu.....mwenzako akianguka msaidie ainuke.....ila kwa ishu ya kumuinua teja ni kazi na mzigo mzito sana!!!

Watu hawaujui uteja Mimi nina Kaka yangu ambae alikuwa Mwalimu wa Advance alikuwa mwajiriwa kabisa ktk shule moja huko kigoma lakini aliangukia kwenye hili janga akaacha kazi mpaka leo ana maisha magumu mno ni teja yeye na bangi hata htujui alipo sasa hvi
 
najaribu tu kutafakari headboy anasimama mbele alafu anatangaza,(ndugu madenti wenzangu kuanzia leo nimepiga chini nazjaz,sio demu wangu tena.
) hiyo shule ilikuwa ya ajabu sana.this is cooked story
 
Back
Top Bottom