Namsikitikia, He was my boyfriend

Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

Nyie wasichana wa siku izi kwa umbea na kutunga mmetisha ya kama mdogo wake Shigongo
 
Mbona havihusiani na uzi huu, au ingilishi yangu ya 'mimi ni maimuna"?
ok, naanza ingilishi kozi na mimi.

na kweli shule imebuma dogo

mleta mada ana (au alikua na) attention seeking disorder (ADS), read the post, the context and probably a few threads started kipindi hicho cha june 2011 wakati sredi inaswing

chelewa-chelewa utakuta mtoto si wako
 
uhalisia naufeel kwa mbaali sana. lakini anyway msaidie tu kama rafiki huwezi lakini mazoea yasiwepo
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
waache wafu wazike wafu wenzao via ngano za kiyahudi..
 
na kweli shule imebuma dogo

mleta mada ana (au alikua na) attention seeking disorder (ADS), read the post, the context and probably a few threads started kipindi hicho cha june 2011 wakati sredi inaswing

chelewa-chelewa utakuta mtoto si wako
Sawa Dakitari.
But, wait. Just a brotherly advice:
You could be all that educated. Well, Good for you!
But, The fact that you are being Judgmental towards others proves how much the so called 'education'
negatively helps you.
 
ni kweli kabisa

actually education inatuaffect negatively kuliko positively siku zote... chunguza utaona

BTW, hivi daktari akwambia unaumwa mamatizo ya akili anakua judgemental au anatambua ugonjwa???
 
You figure it out.
 
Yaaan stor umeibeba kma ilivo toka kwa shigongo, editn n majina tu na kujipa we u ass character
 
JF ni kijiwe na it deserve story za vijiweni, if you will think perfectly you will find that there is no body who expose his or her inner life in social networks, tunaafanyaga ili muda uende na stress zipungua

Sikutegemea kama utajitetea kwa maneno ya kipumbavu hivi
 
Lakini huyu amekiri kuwa kaweka story ya kijiweni kufurahisha, ana afadhali kuna wapumbavu zaid wanaumiza watu kwa kufeel the situation put on the story behind kumbe walaaa hata hana haja ya huo ushauri..morons
 
Usisema hivyo, miaka zaidi ya saba iliyopita niliwahi kukaa kwenye baa moja huko Mufindi, Iringa nikaonyeshwa baamedi mmoja ambaye alipata Division One form Four, ila akashindwa kuendelea na masomo kwa kukosa nauli na ada ya kwenda shule. Nilimhurumia sana, lakini sikuwa na jinsi ya kumsaidia kwa kuwa nami nilikuwa mpita njia tu. Mambo haya yapo jamani!
ninawafahamu watu wawili walipata div I pt. 4 form six na wapo mbaya hawawezi hata kujiongoza wamekuwa walevi mbbwa ghafla. Hawa walikuwa ni watoto wa kufugwa kila kitu kwa ratiba, baada ya kutenganishwa na wazazi wao walishindwa kabisa kujiongoza wenyewe.
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

Unamsaidia mtu kutokana na mtaji alionao. Bahati nzuri umemkuta anadandia mabasi, una pakuanzia pazuri.
Mnunulie kibasi afanyie biashara. Hapo atakuwa ana make twice; kwanza atakuwa anawatoza watu nauli halafu pia atakuwa anaingilia dirishani kuwashikia abiria siti halafu anawatoza 500 nyingine, atatengeneza hela za kutosha.

Yule wa hirizi kiunoni, msubiri apitiwe na usingizi, chukua mkasi ikate itupilie mbali.
 
Back
Top Bottom