Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.
Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.
Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.
Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.
Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
Huyu matatizo ndio yamemzidi bwana, jamaa amweke sawa, amrudie huyo jamaaa yake japo amweke vizuri..mateja bwana hawasaidiki kwa kuwa wanakupenda zaidi jela kuliko uraiani.
Hadithi ya kutunga, 100% uongo, how somebody with such pontential i am one of them afanye hivyo? Si kweli, lies, liesLeo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.Form six tulipo ingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao.Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
Mi mwenyewe nashangaa,it is too imaginary!hiki kisa ni kizuri bt am not sure wht she said,haiwezekan mtu mwenye uwezo kama kiongozi wa wanafunzi atangaze kama amekuacha wakati hamjafunga ndoa?naomba kwanza anijibu maswali yangu, qn no 1 shule yenu ilikuwa inaruhusu mahusiano ya mapenzi?sec qn baada ya tangazo wanafunzi walikuchukuliaje pamoja na walimu wenu?naomba kuwasilisha
Hadithi ya kutunga, 100% uongo, how somebody with such pontential i am one of them afanye hivyo? Si kweli, lies, lies
Mbona habari zimetapakaa mjin kuwa ulichukia sana kwa yale aliyo kutendea mpaka ukamfungia safari wakati wa likizo kwenda kwa bibi mtengeneza leo washangaa nini au bibi kakaza uzi kupitiliza.... Nazjaz natania tu.Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.Form six tulipo ingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao.Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
ila thread yako haioneshi kama unahitaji ushauri. Ni kama unatuhadithia tu ila kama unahitaji ushauri naungana na waliokushauri umsaidie ila umchunguze kwanza kama ni mtu anayeweza kubadilika usije ukapoteza resources zako bure.Hamna kazi ngumu kama kuchambua ushauri wa watu mbalimbali.
Mkuu You are very very Wrong....... Hata Calvin Coolidge agrees with me....Yaani umepata Div One form 6, eti saa hizi uwe mpiga debe???? Napata kazi kuamini hii??.