Nampenda Zuchu kimapenzi, nifanyaje Wadau??

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
814
1,057
Aseee ndugu zangu wanaJF mnaweza kudhani ni masikhara au ni matumizi mabaya ya simu yangu ila ukweli haipo hivyo...

Ukweli ni kwamba nimekuwa na deep feelings kwa huyu msanii anaitwa Zuchu kiasi kwamba ananijia mpaka ndotoni..

Natamani na napenda kuwa nae ila sijui naanzia wapi
InShot_20200514_223158542.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseee ndugu zangu wanaJF mnaweza kudhani ni masikhara au ni matumizi mabaya ya simu yangu ila ukweli haipo hivyo...

Ukweli ni kwamba nimekuwa na deep feelings kwa huyu msanii anaitwa Zuchu kiasi kwamba ananijia mpaka ndotoni..

Natamani na napenda kuwa nae ila sijui naanzia wapiView attachment 1450987

Sent using Jamii Forums mobile app
Wet dreamsz eeeee, achana na hzo mambo sio kila kitu lazma urespond positively, vingne unafanya tu hujui, assume Zuchu nidadaako, then kauka.
 
Domo kashaweka WIMO hapo JIHADHARI ,Ukimpata VAA BARAKOA usije ukaingia KWENYE GRIDI YA TAIFA 132Kv.
 
Una nini kati ya pesa na umaarufu,
Maana kama huna hata kimoja hapo we komaa tu na huruma za dem wako
 
Me nikutie tu moyo mkuu tafuta njia zote ufikishe hisia zako.
Ndio wakati mwafaka wa kuonyesha urijali na uanaume wako.
 
Mjumbe na mbea maarufu wa jf warumi alisema ni chakura ya mondi. Sasa sijui ni kweli

komesha korona
 
Ungepeleka Instagram ingekuwa bora zaidi,huku huwezi mpata,halafu ishu nyingine haifai mwanaume kuja kueleza wazi pambana,mwanaume wa kweli huwa hasemi saa akitongoza au akimtamani demu fulani,mwanaume humpambania hadi kumpata kimya kimya na akimkosa asemi,kuweka ishu kama hii ni kuonyesha ULIMBUKENI.
 
Easy sana, nenda melerani ukibahatisha jiwe moja la Tanzanite, yeye mwenyewe atakutafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom