ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
[emoji23]Kama ni muaminifu anakujali shida ya nini muache afanye vile moyo unapenda usisikilize watu watu ni wanafki.. Fakeni homo sapien
Bora pombe kuliko watu
Una matatizo sana, unaonekana huna uzoefu na mapenzi, kwanza uliposema tu ananipenda na mimi nampenda nikapata mashakaKwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
Kama anavaa kama yna2 hafaiSalamu kwenu members
Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani
Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.
Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti
NAOMBENI USHAURI
Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
Wanawake wote huwa hawashauriki kuhusu mavazi hasa akiwa mke au mpenzi wako sanasana atasema unamuonea wivuKama hashauriki na n mzito kukuelewa kuna shida.
Sasa kama unachoambiwa hautaki unataka kuambiwa Nini?Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
Jeulijaribu kumnunulia nguo za stara akaacha kuvaaa nenda nae taratibu tafuta cku nenda dukani mnunulie nguo unazopenda kila wk fanya hivyoSalamu kwenu members
Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani
Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.
Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti
NAOMBENI USHAURI
Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
Nimekuelewa kama mtoa uzi hajaelewa basi atasubiri sana. Haiwezekani mavazi yasiendane na tabia maandiko yanasema "litokalo mdomoni utengenezwa katika moyo" mdomo utumika kama spika tu.
Naamini uyo binti ana vitabia ambavyo wewe hujavigundua lakini pia hajaridhika na wewe bado anatafuta akimpata anayemfaa atakuweka pembeni, apo ndipo kutakuwa na kilio cha kusaga meno.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] fakeni mambepe mwenyewe. bora watu kuliko hiyo mitungi bana, mambo mlevi sugu 1Kama ni muaminifu anakujali shida ya nini muache afanye vile moyo unapenda usisikilize watu watu ni wanafki.. Fakeni homo sapien
Bora pombe kuliko watu
Mambo shwari financial business [emoji16] .. Halafu usifananishe pombe na mambo ya ajabu[emoji3] [emoji3] [emoji3] fakeni mambepe mwenyewe. bora watu kuliko hiyo mitungi bana, mambo mlevi sugu 1
Unawatoa watu udenda sana na hiyo avantary yakoMavazi yasikuumize Sana kikubwa tabia na vile mlivyoshibana..muda utafika atayaacha tu,hakuna marefu yasiyo ncha.
[emoji3] [emoji3] mambo ya ajabu ni hizo pombe zako ujue, hivi ni kweli unatumia kiasi hicho?(sana)Mambo shwari financial business [emoji16] .. Halafu usifananishe pombe na mambo ya ajabu
Naitoa Sasa hivi..[emoji23]Unawatoa watu udenda sana na hiyo avantary yako
Kama Smart911 karidhika na mavazi unayovaa ss ni nan tukatae?
[emoji3] [emoji3] mambo ya ajabu ni hizo pombe zako ujue, hivi ni kweli unatumia kiasi hicho?(sana)