Nampenda sana na inanitesa sana

Nampenda sana na inanitesa sana

Naomba kujua huko kuchat mpaka saa sita saa saba usiku mlikuwa mnaongea nini?
 
Yaan wew unavyomlilia huyo binti ndivo wale mabinti watatu wanavokulilia wew kusaka penzi lako huku wew ukiwa hujali,badala yake uko bize kusaka penzi LA MTU aliyebize kusaka penzi LA njemba mwingine ambae naye huenda hampendi huyo binti....hehehheeee.....the vicious cycle of love hate relationship.....
U get what u deliver to others...learn to love what u have...a bird in hand is worth than two in the bush.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Nacheka kama mazuri...mpotezee jifanye haujali wala nini..mwenyewe atarudisha majeshi...akili zetu tunazijua wenyewe
 
Tatizo lako ni moja tu, wewe ni mwanafunzi, najua utakataa ila hakuna mwanamke anae mtaka mwanaume ambae hawezi kumhudumia. Kasema huwezi kumhudumia coz wewe mwanafunzi.

Kwa nini hakujibu??

Jibu: anakupenda ila uwezo huna.

Ana jamaa mwingine ambae hampendi ila ana uwezo wa kumpa huduma.

Status yake kwa sasa: ana play safe asiteme big G kwa Karanga sa kuonjeshwa.

Nini kitatokea baadae: atawakosa nyote

Kwa nini atawakosa nyote: kwa sababu anauza Duka visent vidogo ganji havikosi hana njaa Sana'a kivile, ana imani atapata mwingine baadae.
Umetoa falsafa nzuri mno. Ulishawahi ku-expirience hayo maisha?
 
[emoji1][emoji1]..mapenzii bwanaa,,
Ni hivii kule unapopendwa mara nyingi hutupataki..tunapataka kule ambapo hatupendwi...
....huyo dogo usiwe available sana kwake ,,anakuchukulia for granted jombaa...
Cha msingi usikae kireee...date wengine hamna shortage ya hao wife material.
Ila la mwisho kabixaa tafuta maisha...itarahisisha mambo mengine
 
The biggest communication problem we listen to reply not to understand,, mkuu soma vizuri uelewe, Tukio lilikua mwezi July wakati ndio tupo likizo ya field, issue ya course work hapo inaingiaje? Au ndo nyie wazee wa gpa ya 32
Bora shule zifungue tu kama ungekuwa chuo ungekuwa unakomaa na course works et nawewe unasema field?
 
[emoji1][emoji1]..mapenzii bwanaa,,
Ni hivii kule unapopendwa mara nyingi hutupataki..tunapataka kule ambapo hatupendwi...
....huyo dogo usiwe available sana kwake ,,anakuchukulia for granted jombaa...
Cha msingi usikae kireee...date wengine hamna shortage ya hao wife material.
Ila la mwisho kabixaa tafuta maisha...itarahisisha mambo mengine
Kabisa mkuu hapo ndo panapo leta utamu na raha yenyewe ya mapenzi, (true love) ingekua kila unapopendwa unakubali, yasingekua na value
 
Asante mkuu, kuna mtu aliwahi kusema huwezi kumchunguza mwanamke ukafanikiwa kumuelewa maana wakati anaumbwa wewe (mwanaume) ulikua usingizini,, asante maneno yako yamenifariji
[emoji3][emoji3][emoji3]

Nacheka kama mazuri...mpotezee jifanye haujali wala nini..mwenyewe atarudisha majeshi...akili zetu tunazijua wenyewe
 
Yaan wew unavyomlilia huyo binti ndivo wale mabinti watatu wanavokulilia wew kusaka penzi lako huku wew ukiwa hujali,badala yake uko bize kusaka penzi LA MTU aliyebize kusaka penzi LA njemba mwingine ambae naye huenda hampendi huyo binti....hehehheeee.....the vicious cycle of love hate relationship.....
U get what u deliver to others...learn to love what u have...a bird in hand is worth than two in the bush.
Mkuu naomba nikuulize, hivi mwanamke anapotongozwa hua anakua anampenda yile mwanaume toka awali au? Au sound ndio zitafanya aanze kumpenda?..
 
Habari wakuu, ID hii ni mpya lakini mimi ni mwenyeji humu ndani, nimeamua kutumia ili kuepusha baadhi ya mambo.
Wakuu naamini ushauri wenu utanisaidia sana ndio maana nipo hapa. Ipo hivi:

Mwezi July katika mishe zangu nilikutana na mtoto mmoja mkali (wana duka) basi siku ya kwanza tu kumuona nikampenda sana, (mimi sio play boy mzee wa chapa ilale) nakumbuka toka nilivyoachana na girl friend wangu 2013 nilikua single (sio domo zege) maana kama ningeamua kua na mahusiano ningetaka sababu mpaka sasa kuna watoto watatu hivi wananielewa na wanalilia mapenzi yangu (sijisifu ni ukweli mtupu) lakini sijakua nao sababu nahitaji mwanamke mmoja wa kutulia nae kuanza maisha.

Basi yule mtoto dukani pale kila siku nikawa naenda (siku nyingine namkuta, siku nyingine mdogo ake, au dada yake au kaka yake) basi siku nisipomkuta nikamkuta kesho yake nikawa napiga nae story kufidia (wazazi wake wana maisha ya kizungu hawana noma mara kibao wamenikuta naongea na dogo hawaja mind) basi imeenda tukazoeana sana, hatimaye dogo akanipa namba, tukaanza ku chat kila siku kwa sms/whatsapp muda wote, usiku pia tunaenda mpaka saa sita saa saba. Basi katika ku chat na kuwasiliana nikajikuta nazidi kumpenda sana dogo, nae nahisi hivyo, mwanzo alikua anitafuti mpaka nianze mimi lakini tulienda mpaka nae akawa huru kunitafuta, muda mwingi akawa ananianza yeye, basi wakuu nikajiona bahati nzuri hiyo upande wangu.

Huyu mtoto anajielewa sana, narudia tena anajielewa, sikua na lengo la kumchezea, bali nilitumia ujanja wote kufanya juu chini kuomba dating lakini wapi dogo alinichomolea, pia kwenye issue ya mahusiano akanichomolea, lakini bado tunawasiliana kila siku asubuhi-usiku.
Kila nikimueleza kuhusu mahusiano anakataa kabisa, basi nikaamua kumtafuta dada yake nikaomba aniambie ukweli kuhusu mdogo ake, dada ake akaniambia hajui kama dogo ana mtu ama laah ila dogo hua hamfichi mambo yakekama angekua nae angeshajua.

Basi kila mtu akaenda field, wote tupo vyuo, huko nako dogo tukawa tunawasiliana sana, cha ajabu nikiomba hata picha dogo ananinyima, whatsapp tu hajaweka dp wala status, insta nako hajaweka picha hata profile pic hamna, indicators kibao zinazoonyesh dogo anajielewa zikanivuta sana kwake, nikakaza bado dogo akawa anakataa anadai ana mtu, basi nikawa najiuliza kama ana mtu ulimwengu huu mwanaume unaachaje mwanamke wako atumie karibi siku nzima kuwasiliana na mwanaume mwingine, maana dogo kila siku nipo nae whtsapp hadi usiku na interval ya ku reply ni dk 2.

Sasa majuzi nikiwa whatsapp nikamcheki dogo, mh sio kawaida ile meseji ya kwanza hakua amenijibu, nilivyomcheki ilipita dakika 6 ndio akaisoma, akanijibu basi nika reply, dakika 20 dogo yupo online haku reply, mh nikajua hapa kuna mwanaume mwingine ana chat nae labda nisubiri zamu yangu kesho, kesho inafika saa 2 asubuhi dg yupo online, hajanijibu, nikasepa offline, nakuja kufungua saa 6 mchana yupo online ajanibu, siku ya kwanza, ya pili ya tatu mpaka leo tunaenda siku ya 6 dogo ajanijibu, wakuu huyu mtoto nampenda sana naona ana kila sifa za kua wife material lakini najiuliza kwanini yupo online na hanijibu, kila siku hadi saa tano, saa sita usiku.

Natamani nimuanze tena lakini naogopa, wazungu wanasema not getting a message is also a message, kila nikiandika ujumbe nimtumie naishia kuufuta, nimebaki njia panda, roho inaniuma kumuona mtoto online muda wote, attention na mimi hana tena, na wala sijamkosea lolote, nampenda sana na laiti angejua malengo yangu kua sitaki kumchezea angetulia na mimi

Naombeni mnishauri wakuu nifanye nini, moyo wangu ni sensitive sana,, siku mbili sijalala wala kwenda class, kiukweli hili jambo limeniumiza sana, sana , sana.
_ _ _ F_ nakupenda sana usinitese tafadhali.

ASANTENI WAKUU, NAWASILISHA.
Ushasema anajielewa
 
We unakazana malengo malengo, wakati binti hajakuelewa. Achana nae hakutaki au mpk mtu akuchane live usoni.?!! Tafuta mwingine muyajenge
 
Nyie ndio mnalazimisha mapenzi mnaishia kulia
 
Back
Top Bottom