Nampenda sana na inanitesa sana

Nampenda sana na inanitesa sana

Asante sana mkuu nasubiri huo ushauri
Mkuu on my side plz be a gentleman with dirty mind....huyo girl chuo ni mafia au muhuni means kachangamka sana usiigize wewe mwema sana.... Trust me Onana nae sehem isiyo na watu wengi ongea nae hku unamuangalia sana atalose confidence....mwambie hichi nini mdomon kabla hajajishika mkiss then akimynd ondoka kisses do create love
 
Habari wakuu, ID hii ni mpya lakini mimi ni mwenyeji humu ndani, nimeamua kutumia ili kuepusha baadhi ya mambo.
Wakuu naamini ushauri wenu utanisaidia sana ndio maana nipo hapa. Ipo hivi:

Mwezi July katika mishe zangu nilikutana na mtoto mmoja mkali (wana duka) basi siku ya kwanza tu kumuona nikampenda sana, (mimi sio play boy mzee wa chapa ilale) nakumbuka toka nilivyoachana na girl friend wangu 2013 nilikua single (sio domo zege) maana kama ningeamua kua na mahusiano ningetaka sababu mpaka sasa kuna watoto watatu hivi wananielewa na wanalilia mapenzi yangu (sijisifu ni ukweli mtupu) lakini sijakua nao sababu nahitaji mwanamke mmoja wa kutulia nae kuanza maisha.

Basi yule mtoto dukani pale kila siku nikawa naenda (siku nyingine namkuta, siku nyingine mdogo ake, au dada yake au kaka yake) basi siku nisipomkuta nikamkuta kesho yake nikawa napiga nae story kufidia (wazazi wake wana maisha ya kizungu hawana noma mara kibao wamenikuta naongea na dogo hawaja mind) basi imeenda tukazoeana sana, hatimaye dogo akanipa namba, tukaanza ku chat kila siku kwa sms/whatsapp muda wote, usiku pia tunaenda mpaka saa sita saa saba. Basi katika ku chat na kuwasiliana nikajikuta nazidi kumpenda sana dogo, nae nahisi hivyo, mwanzo alikua anitafuti mpaka nianze mimi lakini tulienda mpaka nae akawa huru kunitafuta, muda mwingi akawa ananianza yeye, basi wakuu nikajiona bahati nzuri hiyo upande wangu.

Huyu mtoto anajielewa sana, narudia tena anajielewa, sikua na lengo la kumchezea, bali nilitumia ujanja wote kufanya juu chini kuomba dating lakini wapi dogo alinichomolea, pia kwenye issue ya mahusiano akanichomolea, lakini bado tunawasiliana kila siku asubuhi-usiku.
Kila nikimueleza kuhusu mahusiano anakataa kabisa, basi nikaamua kumtafuta dada yake nikaomba aniambie ukweli kuhusu mdogo ake, dada ake akaniambia hajui kama dogo ana mtu ama laah ila dogo hua hamfichi mambo yakekama angekua nae angeshajua.

Basi kila mtu akaenda field, wote tupo vyuo, huko nako dogo tukawa tunawasiliana sana, cha ajabu nikiomba hata picha dogo ananinyima, whatsapp tu hajaweka dp wala status, insta nako hajaweka picha hata profile pic hamna, indicators kibao zinazoonyesh dogo anajielewa zikanivuta sana kwake, nikakaza bado dogo akawa anakataa anadai ana mtu, basi nikawa najiuliza kama ana mtu ulimwengu huu mwanaume unaachaje mwanamke wako atumie karibi siku nzima kuwasiliana na mwanaume mwingine, maana dogo kila siku nipo nae whtsapp hadi usiku na interval ya ku reply ni dk 2.

Sasa majuzi nikiwa whatsapp nikamcheki dogo, mh sio kawaida ile meseji ya kwanza hakua amenijibu, nilivyomcheki ilipita dakika 6 ndio akaisoma, akanijibu basi nika reply, dakika 20 dogo yupo online haku reply, mh nikajua hapa kuna mwanaume mwingine ana chat nae labda nisubiri zamu yangu kesho, kesho inafika saa 2 asubuhi dg yupo online, hajanijibu, nikasepa offline, nakuja kufungua saa 6 mchana yupo online ajanibu, siku ya kwanza, ya pili ya tatu mpaka leo tunaenda siku ya 6 dogo ajanijibu, wakuu huyu mtoto nampenda sana naona ana kila sifa za kua wife material lakini najiuliza kwanini yupo online na hanijibu, kila siku hadi saa tano, saa sita usiku.

Natamani nimuanze tena lakini naogopa, wazungu wanasema not getting a message is also a message, kila nikiandika ujumbe nimtumie naishia kuufuta, nimebaki njia panda, roho inaniuma kumuona mtoto online muda wote, attention na mimi hana tena, na wala sijamkosea lolote, nampenda sana na laiti angejua malengo yangu kua sitaki kumchezea angetulia na mimi

Naombeni mnishauri wakuu nifanye nini, moyo wangu ni sensitive sana,, siku mbili sijalala wala kwenda class, kiukweli hili jambo limeniumiza sana, sana , sana.
_ _ _ F_ nakupenda sana usinitese tafadhali.

ASANTENI WAKUU, NAWASILISHA.
pole mkuu,mi pia vitu kama hivyo vimenitokea sana yaan manzi unampenda kwa moyo wote lakini yeye Hana time!
 
Kama anasoma hajibu na wewe muignore mpe a taste of her own medicine inasaidia

Unaweza kua pretender??? Act like humtaki tna japo moyoni unaugulia, punguza mazoea ww utakuja nipa mrejesho

Ukiona juhudi zako hazizai matunda leave her alone,hakupangwa awe wako
.
 
Kwa msaada mtafute darake rake au guru devy..material yake yanauzwa .. Ukishindwa.. Niitwe mbwa
 
How old are you Student?
 
Jibu unalo brother kama unahitaji kuumia endelea wanawake mbona wapo milion 27
 
usijidai_kuna_kufa
Kama anasoma hajibu na wewe muignore mpe a taste of her own medicine inasaidia

Unaweza kua pretender??? Act like humtaki tna japo moyoni unaugulia, punguza mazoea ww utakuja nipa mrejesho

Ukiona juhudi zako hazizai matunda leave her alone,hakupangwa awe wako

Hii ndio the best suluhisho kwake
usijidai_kuna_kufa fata ushauri huu
 
Ni watu wachache sana wenye mapenzi ya dhati huishia kukutana na wapenzi wao wa maisha kikweli. Wengi huishia kuoa / kuolewa na magalasha na kuishi maisha ya kuchepuka na kuibia....

Life is never fair.

Pole sana.
fact!
 
Yaan wew unavyomlilia huyo binti ndivo wale mabinti watatu wanavokulilia wew kusaka penzi lako huku wew ukiwa hujali,badala yake uko bize kusaka penzi LA MTU aliyebize kusaka penzi LA njemba mwingine ambae naye huenda hampendi huyo binti....hehehheeee.....the vicious cycle of love hate relationship.....
U get what u deliver to others...learn to love what u have...a bird in hand is worth than two in the bush.
Mapenzi noma asee
 
Nimeamua kumpotezea tu niko na life kivyangu nimeuacha muda useme. Hakuna kupaparika unajipendekezaaa (for good) mpaka unaonekana ukoje sijui na nishaacha kumtafuta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuwa mpole jifanye kama hata humuwazii anajaribu kukupima na akigundua udhaifu wako atakutesa sana, Mkuu.
Bora yangu mm nilishazoea ma barmedi sitaki pressure mie!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tangu niwe mtu wa kujitambua, only one girl said NO to me na haikuniuma, nilimwambia aende na uzuri wake! Kuna karembo kengine nilikuwa mpk nakaogopa ila nimekapatia ombi la mtima wangu, kamekubali same day!!

So, kijana, acha kulia lia, chagua kumove on, kama ni wako hata after 2yrs atarudi tu. Focus kwenye masomo, ukomboe wakati
 
We kweli mbiumbumbu.....mademu karibu wote hasa wanachuo huwa wanakuwana majamaa watatu au zaidi...sasa huyo demu wako amerudi chuoni kuna mwenye mali kule...pia usishau pia anamilikiwa na mtu mwenye mkwanja pia....wewe msubiri mpaka arudi likizo kwa sasa wacha apigwe bakora na wenzio...we hata hela huna sasa atakukumbukaje?
 
Usiutese sana moyo wako kama amesitisha mawasiliano na wewe unatakiwa kukubaliana na hali.
 
Usilazimishe upendo kwani tayari ushajibiwa ana mtu wake endelea kitafuta nakushauri usitue mzigo kama unahisi hujafika
 
Back
Top Bottom