No 0ne
Member
- May 22, 2014
- 96
- 104
Tabia hii ya mademu ndio ilinifanya nikawa playboy kwani sikupenda maumivu kama hayo unayoyapata. kifupi tu huyo demu labda bado hajakusoma na siku akijakukusoma ww utakuwa unamuona hana maana tena... usiangaike naye sana mtafute kwa njia nyingine na umueleze kama hakuelewi achana nae soma dogo utengeneze GPA.