ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,258
- 40,892
Ili spiika zimpasue ngoma ya masikio😎kesho ahudhurie na akae karibu na spika.
Ili spiika zimpasue ngoma ya masikio😎kesho ahudhurie na akae karibu na spika.
ili aeleweIli spiika zimpasue ngoma ya masikio😎
Saafiili aelewe
ni very big deal, kama ni hvyo ila isije ikawa tani za makombola wakawa majivu..nataka kuwapa zawadi ya tani kumi za mafuta.
ndio vikao kila muda maana dunia haijalala hiiSaafi
Ila hamuishiwi vikao
Kila ka kheri kwenundio vikao kila muda maana dunia haijalala hii
Hapana sio makombora mkuu.ni very big deal, kama ni hvyo ila isije ikawa tani za makombola wakawa majivu..
Njoo unishike bega mapema ili hizo mbupu zisiwepo huko 😂Naomba niwe kwenye hiyo kamati ntakuchoma mbupu moja baada ya nyingine ☄️
Kibali cha kusafirisha mafuta bila vikwazo.Umekuja na mabomu au missiles?
😂😂😂😂Kibali cha kusafirisha mafuta bila vikwazo.
Nichek PM tukamilishe mchakato😂😂😂😂
sawa mkuu wacha wajeHapana sio makombora mkuu.
Hao wadau nawakubali sana ndio maana nataka kuwatunuku hiyo package.