chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,036
- 3,079
Mara kwa mara kumpenda mwanamke asiye na undugu nami, huambatana na kumtamani. lakini kwa member Marry Diana nampenda sana kama dada au mdogo wangu.
Huyu mdogowangu kila akipost napata furaha na kuona siku hiyo imeenda vyema sana.
Huyu mdogowangu kila akipost napata furaha na kuona siku hiyo imeenda vyema sana.