Nakubali mkuu asiposaini usicheke na wowote 😂wakili wangu kaisha thibitisha mkataba nasubiri saini yako
Nishawasha modi ya umafia kwa sasa sicheki na mtu 😎Nakubali mkuu asiposaini usicheke na wowote 😂
Sawa nipo tayaliSaini mkataba wa dosho12 nikupe uthibitisho 😅
dosho12 yupo Tayari huku anaanza kusain kwanza au kupewa uthibitisho ? 😁Sawa nipo tayali
Vyovyote mbona fresh 🏃♂️dosho12 yupo Tayari huku anaanza kusain kwanza au kupewa uthibitisho ? 😁
Khaaa 😅😅😅 ila kweliInabidi ale kiapo kwamba kakubali masharti yote 😏
🫰Khaaa 😅😅😅 ila kweli
Mbwa mm hawaniwezi 😂We mbwa watakuchuna ngozi kabla ya kuchomwa moto😅
Naomba niwe kwenye hiyo kamati ntakuchoma mbupu moja baada ya nyingine ☄️Mbwa mm hawaniwezi 😂
usimshauri huenda akawa ni mama akeMkuu endelea kupambania mimi MWENYEWE mke wangu nimekutana nae humu humu JF
Nipo natafuta kibanda cha chipsi hapa mtaani kwenu, ebu njoo upate angalau kapepsi kabaridi hapa kwa mangiUnibebe kivp
Kama rose mhando au ?😎
nataka kuwapa zawadi ya tani kumi za mafuta.
Alooo ningekuja ila doda situmiiNipo natafuta kibanda cha chipsi hapa mtaani kwenu, ebu njoo upate angalau kapepsi kabaridi hapa kwa mangi
Unavyotumia vipo, wewe sogea tuAlooo ningekuja ila doda situmii
Weekend imeanza mapemaaaa😍Unavyotumia vipo, wewe sogea tu
kesho ahudhurie na akae karibu na spika.Tatizo uhudhurii vikao vya wanaume