BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,257
Huyo mtoto nina kesi nae unajua ana mdomo sana nataka nimkomeshe:screwy:
Mh kama unamdai miss chagga wangu naomba mm nimlipie tafadhali.
Last edited by a moderator:
Huyo mtoto nina kesi nae unajua ana mdomo sana nataka nimkomeshe:screwy:
Mmoja hapo ni mzee wa miaka 75..
Mh kama unamdai miss chagga wangu naomba mm nimlipie tafadhali.
Mh kama unamdai miss chagga wangu naomba mm nimlipie tafadhali.
Toka lini amekua wako?
Huku nilipo nimetulizwa aiseee namalizia malizia utu uzima wangu nianze uzee labda kama mje mnichukue wakati nimezeeka😀
Kweli Nyani Haoni KUNDULE
Au ulimchukulia bwana huyo Honey Faith?
loh huyo aliyekushikilia anakufanya unmaneno kama kinanda cha akudo akakukome
Au ulimchukulia bwana huyo Honey Faith?
Huyo hawezi mapigo yangu.Hapo alipo ananibembeleza nitoke na baba yake.Nadhani umenielewa
Hahahaha na bado
hapana mweee ningekuwa nimezikwa yupo na baba yangu
Dah, anataka utoke na baba mkwe wangu...! Mh lakini mzee namuaminia, mapigo anayaweza, toka nae tu!
Kwahiyo Honey Faith ni wifi yake Mamndenyi!
Dah??? Sasa mbona Khantwe aliniomba nimpeleke mbugani kuona wanyama...kumbe ni mke wa mtu.. mmmmmh hajatulia.