Hujakosea ==(BOFYA)Vijana wa sikuizi wapenda lelewa, akiwa shangazi si shida atampakata atiii.
nmeona humu kuna wadada ambao wana hekima mfano hawo niliowataja natamani wangekuwa wapenzi wangu
Mie mwenyeji kuliko wewe, pole kwa majibu ya kejeli next time simamisha bendera ya Tz(amani)
Vijana wa sikuizi wapenda lelewa, akiwa shangazi si shida atampakata atiii.
Mmh.. Ni aibu lakini, japo kila mtu anaishi atakavyo.
wamegoma kujaHawo miss chagga na Mamndenyi wako wapi?
Nimeona humu kuna wadada ambao wana Hekima mfano; hawo niliowataja natamani wangekuwa wapenzi wangu.
Umefungua akaunti jana na kuibukia huku, sibora ungetumia ile ID yako ya kawaida hahaha.
Nimeona humu kuna wadada ambao wana Hekima mfano; hawo niliowataja natamani wangekuwa wapenzi wangu.
Atakua ni mme wa mmoja wao, anatest uaminifu.
Useme ningekuwa mama yako,
Ila miss chagga nakuachia uhangaike naye.
Kwahiyo miss chagga ni mkamwanao Mamndenyi.
Ni nani mwenye hata mme huku tena.