miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
b acha woga banadah b.... Acha nijivue gamba tu... Kama picha yako ipo hadi kwenye pesa.. Basi mi siziwezi mbichi hizi japo bado nakupenda b...
b acha woga banadah b.... Acha nijivue gamba tu... Kama picha yako ipo hadi kwenye pesa.. Basi mi siziwezi mbichi hizi japo bado nakupenda b...
Ina maana mmewahi kuonana physically? miss chaggaacha mbwe mbwe
b acha woga bana
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio
wote wajanja. Kuna:-
1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi
pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi
sana hupeleka wake zao vijijini wakileta
kiburi mjini. Wanawake zao ni mama
Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue
umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na
umbo wanawachuna Warombo. Wanawake
wana dharau sana na wanaume ni waoga
kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu
kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo
lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa
wanayofanya ni ya kuchinja... wengi
wanamiliki mabucha. Wana hasira sana na ni
wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi
anakuja kudai kisu chake.
4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana,
ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana,
anaweza kukuua huku akitabasamu, sio
waaminifu sana lakini huenda kanisani mara
nyingi zaidi kuliko Wachaga wote. Wanawake
wa machame wanaitwa 'Wapalestina'.. Mume
ukitajirika mkeo anakuua ili arithi mali.
5. Kuna Wauru, hawa hupenda kusoma sana
lakini hawapendi maendeleo kabisa,
wanawake wakifikisha umri wa miaka 40 hua
wehu na wanaume huwa vichaa mapema
zaidi. Wanaume ni wavivu, wanawake ni
wachapakazi hodari. Wanazurura mjini na
mabeseni wakiuza ndizi mbivu.. Ukioa Uru
jiandae kulea kichaa.
6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama
Wahaya. Wanawake wa Kirua ni wachawi
kupindukia.. Wanaloga hata jiwe ili tu
alikomoe.. Wanaume wao hawaoi kwao..
Hawapendi kuishi mjini maana wanaogopa
gharama.. lakini siku wakija mjini watatu tu
utadhani wako mia.
7. Kuna Wa-old Moshi. Hawa ni mafundi
stadi wa ujenzi wa nyumba, japo hawajengi
kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda
Old-Moshi kuanzia Moshi mjini, maana ni
wabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye
mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka
nyumbani saa kumi na moja alfajiri na
kurudi saa sita ya usiku kwa miguu.!
sasa sijui mamdenyi na miss chaga ni wachaga wa wapi...!!!
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio
wote wajanja. Kuna:-
1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi
pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi
sana hupeleka wake zao vijijini wakileta
kiburi mjini. Wanawake zao ni mama
Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue
umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na
umbo wanawachuna Warombo. Wanawake
wana dharau sana na wanaume ni waoga
kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu
kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo
lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa
wanayofanya ni ya kuchinja... wengi
wanamiliki mabucha. Wana hasira sana na ni
wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi
anakuja kudai kisu chake.
4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana,
ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana,
anaweza kukuua huku akitabasamu, sio
waaminifu sana lakini huenda kanisani mara
nyingi zaidi kuliko Wachaga wote. Wanawake
wa machame wanaitwa 'Wapalestina'.. Mume
ukitajirika mkeo anakuua ili a
Ok acha niendelee kujipa moyo B.... Nakufata inbox hapa presha sana..
Ina maana mmewahi kuonana physically? miss chagga
physically feet
Au "physically fit"!
Mamito kale kampango ketu niaje!!
nimekuxoma xana mkuu najua umewaxoma pakutoxha hao wachaga mm mwenyewe japo ni mromboo lakin wanawake wa kichaga nawahexhim kama dada zangu 2 na cwez kuoa mchaga
kiinglish cha kugush safi sana...
kile kimpango bado kipo
physically feet
Vipi wikiendi hii utakuwa na bwa'she au tuonane..??
Baba yako anamaliza tu hela zake kwa kukulipia ada.Yani bahati yako sikuwa mama yako wewe ungekuwa house girl wangu:banghead:
nimekuxoma xana mkuu najua umewaxoma pakutoxha hao wachaga mm mwenyewe japo ni mromboo lakin wanawake wa kichaga nawahexhim kama dada zangu 2 na cwez kuoa mchaga
mweee jamani kwani we hukoseagi ? mwone
Wewe nae umevalia njuga familia za watu????😕
Hahahaha na sasa hivi naanza kufatilia nyendo zako zote ili niwe na ripoti kwa baba yako madhumuni yangu aache kukulipia ada