Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Sawa nimekusikia I'll try my level best to be around 🙂🙂 usikose mchapo wa kukata na shoka Jumapili 7.00pm EAT.
Ok poa ngoja niisave hii akilini maana nilivyomsahaulifu?
Sawa nimekusikia I'll try my level best to be around 🙂🙂 usikose mchapo wa kukata na shoka Jumapili 7.00pm EAT.
nmeona humu kuna wadada ambao wana hekima mfano hawo niliowataja natamani wangekuwa wapenzi wangu
Ok poa ngoja niisave hii akilini maana nilivyomsahaulifu?
Nitakukumbusha nikikukuona, usiwe na hofu kwa hilo.
Wee! Kakosea vibaya tena anatakiwa aombe radhi.
Una pesa weye lakini????
..wataka wote wawili kwa wakati mmoja?? Mmoja aweza kuwa shangaziyo ujue..!..teh!
njoo pm.
Vijana wa sikuizi wapenda lelewa, akiwa shangazi si shida atampakata atiii.
Comment yamuhusu mtoa mada, babu vipi tuliza kengere zako, pm ndo wap?????
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio
wote wajanja. Kuna:-
1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi
pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi
sana hupeleka wake zao vijijini wakileta
kiburi mjini. Wanawake zao ni mama
Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue
umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na
umbo wanawachuna Warombo. Wanawake
wana dharau sana na wanaume ni waoga
kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu
kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo
lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa
wanayofanya ni ya kuchinja... wengi
wanamiliki mabucha. Wana hasira sana na ni
wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi
anakuja kudai kisu chake.
4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana,
ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana,
anaweza kukuua huku akitabasamu, sio
waaminifu sana lakini huenda kanisani mara
nyingi zaidi kuliko Wachaga wote. Wanawake
wa machame wanaitwa 'Wapalestina'.. Mume
ukitajirika mkeo anakuua ili arithi mali.
5. Kuna Wauru, hawa hupenda kusoma sana
lakini hawapendi maendeleo kabisa,
wanawake wakifikisha umri wa miaka 40 hua
wehu na wanaume huwa vichaa mapema
zaidi. Wanaume ni wavivu, wanawake ni
wachapakazi hodari. Wanazurura mjini na
mabeseni wakiuza ndizi mbivu.. Ukioa Uru
jiandae kulea kichaa.
6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama
Wahaya. Wanawake wa Kirua ni wachawi
kupindukia.. Wanaloga hata jiwe ili tu
alikomoe.. Wanaume wao hawaoi kwao..
Hawapendi kuishi mjini maana wanaogopa
gharama.. lakini siku wakija mjini watatu tu
utadhani wako mia.
7. Kuna Wa-old Moshi. Hawa ni mafundi
stadi wa ujenzi wa nyumba, japo hawajengi
kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda
Old-Moshi kuanzia Moshi mjini, maana ni
wabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye
mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka
nyumbani saa kumi na moja alfajiri na
kurudi saa sita ya usiku kwa miguu.!
sasa sijui mamdenyi na miss chaga ni wachaga wa wapi...!!!

Hata Wewe Pia Ni Kijana Unahitaji Kulelewa
Mie Toto ya kike kulelewa haki yangu bhana
Mbona Najua Hilo Sema Nini Ndo Inabdi Unipe Maamuzi Magumu
Aisee dada una majibu ya kejeli.
Btw, asante, maybe angekuwa mwenyeji ungemjibu vizuri.
Sorry kwa usumbufu.