miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Mmmh..acha unyimi wewe!!!
nimepewa kwa pesa natoa kwa pesa
Mmmh..acha unyimi wewe!!!
nimepewa kwa pesa natoa kwa pesa
Hahahahaaaa... U just summed up my day...! Damn mtoto na cheddar ni hatari..!
loh mwanamke una roho mbaya kama mchawi aisee:angry:
Na bado.Kipindi unataka kuvunja ndoa yangu ulidhani nafurahi eeehh!!!
Loh hii vita naomba pooo
Okay kama umekubali kushindwa na ukimuona mme wangu uwe unamuamkia kwa heshima zote😀🙁