Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
ALIMTEMESHA MZIGO RAFIKI YANGU ... AKAMILIKI MAZIMA ... TUKIO HILO LILINIKERA SANAKakojozwa miaka 15...kaahwa ndi ndi...
ALIMTEMESHA MZIGO RAFIKI YANGU ... AKAMILIKI MAZIMA ... TUKIO HILO LILINIKERA SANAKakojozwa miaka 15...kaahwa ndi ndi...
Nepe ilikuwaje mkuu....ALIMTEMESHA MZIGO RAFIKI YANGU ... AKAMILIKI MAZIMA ... TUKIO HILO LILINIKERA SANA
GADNER SI ALIKUWA MME WA MTU??? AU HUJUI HILO???Nepe ilikuwaje mkuu....
KAZI ZAKE NIKIMAANISHA MZIKI WAKE HUWA UNA UJUMBE MZURI .. NAOMBA NIELEWEKE HIVYOUmesema unapenda kazi zake yeye humpendi nikakumbuka kitabu flani cha I level kuna jamaa aliitwa chichidodo hakuwa anapenda rushwa ila alikula na kuishi na wala rushwa mwisho naye akatumbuliwa
katika riwaya AN ENEMY OF THE PEOPLE inasemekana chichi dodo hujinadi yu msafi japo anasukuma mausha kwa kula funza kwenye matundu ya vyooUnamjua chichi dodo?
hahahahaaa KLF, HKL, HGL inahusika hapo, waliopita wanafahamu. kitabu kina lugha chafu huthubutu kumtusi mtu shaba halali yako "...you un-circumsized baboon; son of the bitch. you think this bus belongs to your grand father..."Umesema unapenda kazi zake yeye humpendi nikakumbuka kitabu flani cha I level kuna jamaa aliitwa chichidodo hakuwa anapenda rushwa ila alikula na kuishi na wala rushwa mwisho naye akatumbuliwa
Eti namba yake kaifuta..wakati anayo kichwani..lolMcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake!
Tori ndi.....Yo ndi ndi ndi
Ni bora awe mkweli malengo yakeDada wa hiari? Gear namba ngapi hiyo? Ahahahahahaaa
Namanga, kinoSehemu gani ndugu ? Naomba direction