donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
@jidejaydee on Twitter
Niki kumbuka wimbo wa 'usi usemee moyo' pale kwangu ndio ilikuwa burda.Ila dada yule ana kipaji na sauti ya kuimba ni balaa. Mengine "No Comment"
Watu wa kaba kiandu!!!Lady. Naomba ukipata ujumbe huu Mimi ni mkibosho achana na warombo washamba washamba nipe nafsi nikulee Mtoto Wa watu nikupe zawadi za kirima juu
Kikadumbuka kushaaaa,kungiuria kingiiWatu wa kaba kiandu!!!
Muombe namba mr.MikojoNi muda mrefu nimempenda huyu dada pichani, View attachment 345866Nataka niwe kaka yake wa hiari any contact please
Duuh @ 15Mcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake!
Mcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake!