nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,953
- 5,829
Kisirious ndo kukoje? Nakwambia nenda nyumban lounge hapo kinondon utampata, we vipi? Kama huujui huu mji weka wazi nikuelekeze. Unabwata nin sijuiMkuu elekeza kisirious basi!
Kisirious ndo kukoje? Nakwambia nenda nyumban lounge hapo kinondon utampata, we vipi? Kama huujui huu mji weka wazi nikuelekeze. Unabwata nin sijuiMkuu elekeza kisirious basi!
Unaish wapiMi mgeni dar mkuu
Hizo ni gia tuSijaelewa mkuu
Kwa papara uliyonayo utatugongea magari yetu yaendayo haraka , hebu tulia wakuelewesha tutakukosa bure, kisa unatafuta udada wa hiariKuna na haya mabarabara makubwa waliojenga na mabasi nimekuta dar mpya kabisa
Wewe unataka umarioo maana inaelekea unapenda magari na pesa huna hata Avatar yako inaonyesha msongo ulio naoNi muda mrefu nimempenda huyu dada pichani, View attachment 345866Nataka niwe kaka yake wa hiari any contact please
Pale pale upande wa kushotoMi yananichanganya kinondoni gani pale manyanyaa, studio, kanisa la Pinda , au kwa wapi sasa pale
After 4:30hahahahaaa KLF, HKL, HGL inahusika hapo, waliopita wanafahamu. kitabu kina lugha chafu huthubutu kumtusi mtu shaba halali yako "...you un-circumsized baboon; son of the bitch. you think this bus belongs to your grand father..."
Just a joke.No mkuu gari ninalo langu