mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 #1 Ni muda mrefu nimempenda huyu dada pichani, Nataka niwe kaka yake wa hiari any contact please
pedama JF-Expert Member May 11, 2015 236 144 May 9, 2016 #2 Hata mimi nataka niwe mdogo wake wa ubatizo.
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 Thread starter #3 pedama said: Hata mimi nataka niwe mdogo wake wa ubatizo. Click to expand... Nshamuwahi brother !!! Nipewe kwanza Mimi
pedama said: Hata mimi nataka niwe mdogo wake wa ubatizo. Click to expand... Nshamuwahi brother !!! Nipewe kwanza Mimi
naiman64 JF-Expert Member Nov 22, 2013 6,865 5,314 May 9, 2016 #4 Dada wa hiari? Gear namba ngapi hiyo? Ahahahahahaaa
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 Thread starter #5 naiman64 said: Dada wa hiari? Gear namba ngapi hiyo? Ahahahahahaaa Click to expand... No! Sina maana hiyo
naiman64 said: Dada wa hiari? Gear namba ngapi hiyo? Ahahahahahaaa Click to expand... No! Sina maana hiyo
barafuyamoto JF-Expert Member Jul 26, 2014 32,375 29,732 May 9, 2016 #6 Mcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake!
mgangawaukoo JF-Expert Member May 8, 2016 2,183 2,388 May 9, 2016 #7 Unataka ukalelewe kama nanilii vile, nan tena? Angalizo usije kuimbiwa ndi ndi ndi.
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 Thread starter #8 barafuyamoto said: Mcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake! Click to expand... Ni mapema sana Gardiner kuwa na contact zake , si unajua siku za kwanza kwanza za kuachana unafuta contact zooote.
barafuyamoto said: Mcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake! Click to expand... Ni mapema sana Gardiner kuwa na contact zake , si unajua siku za kwanza kwanza za kuachana unafuta contact zooote.
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 Thread starter #9 mgangawaukoo said: Unataka ukalelewe kama nanilii vile, nan tena? Angalizo usije kuimbiwa ndi ndi ndi. Click to expand... Mi nataka kuwa kaka tuu hataniimbia ndi ndi ndi
mgangawaukoo said: Unataka ukalelewe kama nanilii vile, nan tena? Angalizo usije kuimbiwa ndi ndi ndi. Click to expand... Mi nataka kuwa kaka tuu hataniimbia ndi ndi ndi
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 Thread starter #11 Doto Dotto said: Jike dume hilo Click to expand... Eee mi nampenda hivyo hivyo si ni dada bwan Doto Dotto said: Jike dume hilo Click to expand...
Doto Dotto said: Jike dume hilo Click to expand... Eee mi nampenda hivyo hivyo si ni dada bwan Doto Dotto said: Jike dume hilo Click to expand...
mgangawaukoo JF-Expert Member May 8, 2016 2,183 2,388 May 9, 2016 #12 barafuyamoto said: Mcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake! Click to expand... Kumkojolesha mtu mchezo, km aliropoka kwel hata uanaume Hana.
barafuyamoto said: Mcheki yule jamaa aliyedai kamkojolesha kwa miaka 15, atakuwa na contacts zake! Click to expand... Kumkojolesha mtu mchezo, km aliropoka kwel hata uanaume Hana.
mgangawaukoo JF-Expert Member May 8, 2016 2,183 2,388 May 9, 2016 #13 mbere said: Mi nataka kuwa kaka tuu hataniimbia ndi ndi ndi Click to expand... Hata mwezako alianza hivyo hivyo "da jide" Badaye akaitumia frusa, c unajua pale gorofan ni wazee wa kujiongeza.
mbere said: Mi nataka kuwa kaka tuu hataniimbia ndi ndi ndi Click to expand... Hata mwezako alianza hivyo hivyo "da jide" Badaye akaitumia frusa, c unajua pale gorofan ni wazee wa kujiongeza.
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 Thread starter #14 mgangawaukoo said: Hata mwezako alianza hivyo hivyo "da jide" Badaye akaitumia frusa, c unajua pale gorofan ni wazee wa kujiongeza. Click to expand... Nitaftieni kwanza mawasiliano yake ntajua mbele ya safari
mgangawaukoo said: Hata mwezako alianza hivyo hivyo "da jide" Badaye akaitumia frusa, c unajua pale gorofan ni wazee wa kujiongeza. Click to expand... Nitaftieni kwanza mawasiliano yake ntajua mbele ya safari
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 May 9, 2016 #15 Ila dada yule ana kipaji na sauti ya kuimba ni balaa. Mengine "No Comment"
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 Thread starter #16 Chapa Nalo Jr said: Ila dada yule ana kipaji na sauti ya kuimba ni balaa. Mengine "No Comment" Click to expand... Ndo ninavyovipendea mkuu, ndo maana nataka undugu naye wa hiari, vipi una mawasiliano yake?
Chapa Nalo Jr said: Ila dada yule ana kipaji na sauti ya kuimba ni balaa. Mengine "No Comment" Click to expand... Ndo ninavyovipendea mkuu, ndo maana nataka undugu naye wa hiari, vipi una mawasiliano yake?
Tutor B JF-Expert Member Jun 11, 2011 9,025 6,582 May 9, 2016 #17 binafsi napenda kazi zake, ila sipendi tabia zake. wimbo wake wa kwanza ... nailazimisha furaha ndo huwa unanifanya nikumbuke mengi sana tena sana
binafsi napenda kazi zake, ila sipendi tabia zake. wimbo wake wa kwanza ... nailazimisha furaha ndo huwa unanifanya nikumbuke mengi sana tena sana
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 May 9, 2016 Thread starter #18 Tutor B said: binafsi napenda kazi zake, ila sipendi tabia zake. wimbo wake wa kwanza ... nailazimisha furaha ndo huwa unanifanya nikumbuke mengi sana tena sana Click to expand... Unamjua chichi dodo?
Tutor B said: binafsi napenda kazi zake, ila sipendi tabia zake. wimbo wake wa kwanza ... nailazimisha furaha ndo huwa unanifanya nikumbuke mengi sana tena sana Click to expand... Unamjua chichi dodo?
Tutor B JF-Expert Member Jun 11, 2011 9,025 6,582 May 9, 2016 #19 mbere said: Unamjua chichi dodo? Click to expand... ndo nani huyo mkuu?
K kikuna JF-Expert Member May 26, 2015 2,573 2,805 May 9, 2016 #20 Kakojozwa miaka 15...kaahwa ndi ndi...