Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

Dili ya kuuza majani mabichi on air now.
 
Ni mara nyingi sana tumesikia au kuona watu (mwanamke na mwanaume)wakiwa wamenasiana au kupoteza maisha on spot,au kutofanikisha kupiga game kwa mwanaume kuona mauzauza wkt wakutaka kufanikisha tendo husika.

Kutokana na wivu wa kimapenzi au kutokuaminiana kati ya wanandoa au wachumba hupelekea baadhi ya wanaume kuwawekea "mtego" wake zao endapo atachepuka basi 'adui' aweze kukamatika au kudhurika.
Kuna namna mbalimbali za kuweka huo mtego na kikubwa hapa mkeo hapaswi kufahamu kama umemtega na wkt mwingine ukijichanganya tu,unajiteka mwenyewe.

Kwa mfano;wkt unataka kutoka au kusafiri na unataka kuweka huo mtego basi unaweza kumwita mkeo kama yupo nje then wkt huo unaweka huo mtego chini ya mlango na unahakikisha lazima aruke huo mtego;baada ya hapo umemaliza.Akichepuka tu majibu utayapata huko ulipo.
Hakikisha unaporudi lazima utegue kwanza kwa njia hiyohiyo hapo juu kabla ya kumparamia(kula papuchi) mbali na hapo unajinasa mwenyewe.Kama Mtego wako ulikuwa mtu (adui)avunjike kiuno basi na wewe lazima kiuno kivunjike ukisahau kutegua.

Sasa ukitaka kufahamu mwanamke aliyewekewa mtego fanya lifuatalo;
Wkt mmepanga kwenda faragha kupiga hiyo game ya kirafiki basi ww mwanaume chukua Jani lolote bichi(liwe pana kidogo )weka mfukoni mwako.Mkishafika kabla ya kuingiza machine chukua lile jani lako weka juu ya papuchi.Ukiona hilo jani limekauka au kusinyaa kbsa nakushauri acha kbsa wala usidhubutu kuingiza dushe utanasia hapo au kiono kuteguka.

Huo ni ushauri wa bure!
Asante Mkuu...kuna wanawake Wa wenyewe wananpendaga balaaa. APA watakoma..
 
Hii ni mahususi kwa wachepukaji. Wengine ni muhimu kuhifadhi kwa matumizi ya baadaye ikibidi.
 
Wale wala wake za watu njooni huku, hii ndio Tanzania ya upendo [emoji38]
 
Mwanamke gani huyo wa kukuruhusu umwekee jani kwenye K yake kiboya?
 
Itakuwa wameongeza kadawa cha kutokausha jani baada ya kuona mbinu yako
 
Je hakuna wataalamu wa kuwatega wale jamaa wa makinikia wajiingizatu kwenye chumba cha majadiliano wakanasia hadi wakitupa Noah zetu kila mtu yake ndio wanasuliwe?

Kwanini tuibiwe kumbe tunawataalamu wa mitambo hadi ya kutegua viuno
 
Hasante umenisaidia sana daah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji31][emoji31]
 
Kuna mzee aliwahi nambia,kama unahisi mwanamke ametegwa na unataka kula mzigo.Mtangulize chumbani afu ww fata nyuma chukua kipande cha nondo au chuma kabla hujaingia mlangoni kitangulize kile kipande cha nondo we ufate.Kama kweli anatego bhasi nondo itakatika na tego utakua umelitegua.

Wazigua ndo wanatabia ya kuwawekea wake zao matego,mzee akanambia kwa mbinu hiyo amekula sanah wake wa wazigua

Sa sijui alikua ananidanganya

NB.Mke wa mtu sumu


Mmmmmmmmmmh!!!


Huuuuuuuh, nimecheka sana ila pia nimechoka kabisa duuuuuuuuh!!!
 
Njia rahisi ya kugundua mtego, chukua muhogo uwe mrefu kiasi umenye then mtumbukizie kwenye papuchi, ukisikia kama kuna mtu anautafuna jua hapo dushe litanasia, ukiona kimya jua hakuna kitu hapo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa nini niwe mtumwa wa papuchino wakati zote zinafanana!


Haya, michepuko njooni humu JF mpate kutegua mitego ya tego la wagoni wenu.
Nani kakudanganya kua papuchi zote zina fanana mkuu?

Unataka kusema papuchi zote zina maji?

Kama unaamini sio papuchi zote zenye maji na zinazunuka basi jibu lako litakua "papuchi ziko tofauti"
 
Huyo mwanamke atakuona kama mchawi! Yaani unataka kugegeda anaona unatoa jani bichi unaweka kwenye nyapu[ emoji23] [emoji23]
Nimejaribu kufikiri kwa vitendo nimejikuta nimecheka sana!
Nilichogundua hapa mkuu anataka kufanya tukose papuchi maana hata jani lisipokauka basi hata nyapu hupati tena utaitwa mchawi kabisa
 
Back
Top Bottom