Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

M
Unamweleza kwanza mkuu,maana huwa wanategwa bila kujua.Ni bora kutest kwanza (kama una wasiwasi )kuliko kwenda mazima then gafla unaona Operation tokomeza maovu na mikamera juu ikishuhudia mlivyogandiana.Fedheha na aibu itakuwa kwenu wawili
You are very right mkuu.
 
Hata huyo anayetega naye haziko sawa. Mimi sihangaiki na mwanamke, akiamua kugawa ni yeye na maisha yake atakuwa ameamua, siwezi kumlinda
 
Wakinga.

Ni mara nyingi sana tumesikia au kuona watu (mwanamke na mwanaume)wakiwa wamenasiana au kupoteza maisha on spot,au kutofanikisha kupiga game kwa mwanaume kuona mauzauza wkt wakutaka kufanikisha tendo husika.

Kutokana na wivu wa kimapenzi au kutokuaminiana kati ya wanandoa au wachumba hupelekea baadhi ya wanaume kuwawekea "mtego" wake zao endapo atachepuka basi 'adui' aweze kukamatika au kudhurika.
Kuna namna mbalimbali za kuweka huo mtego na kikubwa hapa mkeo hapaswi kufahamu kama umemtega na wkt mwingine ukijichanganya tu,unajiteka mwenyewe.

Kwa mfano;wkt unataka kutoka au kusafiri na unataka kuweka huo mtego basi unaweza kumwita mkeo kama yupo nje then wkt huo unaweka huo mtego chini ya mlango na unahakikisha lazima aruke huo mtego;baada ya hapo umemaliza.Akichepuka tu majibu utayapata huko ulipo.
Hakikisha unaporudi lazima utegue kwanza kwa njia hiyohiyo hapo juu kabla ya kumparamia(kula papuchi) mbali na hapo unajinasa mwenyewe.Kama Mtego wako ulikuwa mtu (adui)avunjike kiuno basi na wewe lazima kiuno kivunjike ukisahau kutegua.

Sasa ukitaka kufahamu mwanamke aliyewekewa mtego fanya lifuatalo;
Wkt mmepanga kwenda faragha kupiga hiyo game ya kirafiki basi ww mwanaume chukua Jani lolote bichi(liwe pana kidogo )weka mfukoni mwako.Mkishafika kabla ya kuingiza machine chukua lile jani lako weka juu ya papuchi.Ukiona hilo jani limekauka au kusinyaa kbsa nakushauri acha kbsa wala usidhubutu kuingiza dushe utanasia hapo au kiono kuteguka.

Huo ni ushauri wa bure!
 
Kwa nini niwe mtumwa wa papuchino wakati zote zinafanana!

Haya, michepuko njooni humu JF mpate kutegua mitego ya tego la wagoni wenu.
Mkuu kuna papuchi zinaitwa Bwawa, Sasa hizi zipo tofauti na zingine kabsa yaani, (if you know what I'm say man)
 
Hata huyo anayetega naye haziko sawa. Mimi sihangaiki na mwanamke, akiamua kugawa ni yeye na maisha yake atakuwa ameamua, siwezi kumlinda
Kuna watu wana wivu balaa.Kuliwa mke kunauma sana mkuu
 
Nani kakudanganya kua papuchi zote zina fanana mkuu?

Unataka kusema papuchi zote zina maji?

Kama unaamini sio papuchi zote zenye maji na zinazunuka basi jibu lako litakua "papuchi ziko tofauti"

Duuuuuuh
 
Ni mara nyingi sana tumesikia au kuona watu (mwanamke na mwanaume)wakiwa wamenasiana au kupoteza maisha on spot,au kutofanikisha kupiga game kwa mwanaume kuona mauzauza wkt wakutaka kufanikisha tendo husika.

Kutokana na wivu wa kimapenzi au kutokuaminiana kati ya wanandoa au wachumba hupelekea baadhi ya wanaume kuwawekea "mtego" wake zao endapo atachepuka basi 'adui' aweze kukamatika au kudhurika.
Kuna namna mbalimbali za kuweka huo mtego na kikubwa hapa mkeo hapaswi kufahamu kama umemtega na wkt mwingine ukijichanganya tu,unajiteka mwenyewe.

Kwa mfano;wkt unataka kutoka au kusafiri na unataka kuweka huo mtego basi unaweza kumwita mkeo kama yupo nje then wkt huo unaweka huo mtego chini ya mlango na unahakikisha lazima aruke huo mtego;baada ya hapo umemaliza.Akichepuka tu majibu utayapata huko ulipo.
Hakikisha unaporudi lazima utegue kwanza kwa njia hiyohiyo hapo juu kabla ya kumparamia(kula papuchi) mbali na hapo unajinasa mwenyewe.Kama Mtego wako ulikuwa mtu (adui)avunjike kiuno basi na wewe lazima kiuno kivunjike ukisahau kutegua.

Sasa ukitaka kufahamu mwanamke aliyewekewa mtego fanya lifuatalo;
Wkt mmepanga kwenda faragha kupiga hiyo game ya kirafiki basi ww mwanaume chukua Jani lolote bichi(liwe pana kidogo )weka mfukoni mwako.Mkishafika kabla ya kuingiza machine chukua lile jani lako weka juu ya papuchi.Ukiona hilo jani limekauka au kusinyaa kbsa nakushauri acha kbsa wala usidhubutu kuingiza dushe utanasia hapo au kiono kuteguka.

Huo ni ushauri wa bure!
Ww ulinasa? Umejuaje hiyo ndio dawa?
 
Hiyo ya kuchanjia Damu ya paka ikoje mkuu?
Mtegaji anachukua mpaka mweusi anamchija anachukua sehemu ya damu anachanganya na sawa Fulani , kisha anajichanja sehemu yake na kupaka huku akinuizia maneno kabla ya kufanya na mke wake kisha kisha anaondoka zake. Ukiingia utafanya mchezo wako lakini ukitoka ndio jumla kwa kaburi.. Ya nini yote hayo ? Wanawake wako tele. Oeni mkae na wake zenu. Usichopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzio.
 
Ww ulinasa? Umejuaje hiyo ndio dawa?
Mkuu swali gani hili?dawa zote zinazotumika kutibu wagonjwa unazifahamu?Si lazima Dk.akuambie?na kupitia kuelewa kwako pia unaweza elekeza mwenzio pia
 
Back
Top Bottom