Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

Dj mat

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
747
473
Ni mara nyingi sana tumesikia au kuona watu (mwanamke na mwanaume)wakiwa wamenasiana au kupoteza maisha on spot,au kutofanikisha kupiga game kwa mwanaume kuona mauzauza wkt wakutaka kufanikisha tendo husika.

Kutokana na wivu wa kimapenzi au kutokuaminiana kati ya wanandoa au wachumba hupelekea baadhi ya wanaume kuwawekea "mtego" wake zao endapo atachepuka basi 'adui' aweze kukamatika au kudhurika.
Kuna namna mbalimbali za kuweka huo mtego na kikubwa hapa mkeo hapaswi kufahamu kama umemtega na wkt mwingine ukijichanganya tu,unajiteka mwenyewe.

Kwa mfano;wkt unataka kutoka au kusafiri na unataka kuweka huo mtego basi unaweza kumwita mkeo kama yupo nje then wkt huo unaweka huo mtego chini ya mlango na unahakikisha lazima aruke huo mtego;baada ya hapo umemaliza.Akichepuka tu majibu utayapata huko ulipo.
Hakikisha unaporudi lazima utegue kwanza kwa njia hiyohiyo hapo juu kabla ya kumparamia(kula papuchi) mbali na hapo unajinasa mwenyewe.Kama Mtego wako ulikuwa mtu (adui)avunjike kiuno basi na wewe lazima kiuno kivunjike ukisahau kutegua.

Sasa ukitaka kufahamu mwanamke aliyewekewa mtego fanya lifuatalo;
Wkt mmepanga kwenda faragha kupiga hiyo game ya kirafiki basi ww mwanaume chukua Jani lolote bichi(liwe pana kidogo )weka mfukoni mwako.Mkishafika kabla ya kuingiza machine chukua lile jani lako weka juu ya papuchi.Ukiona hilo jani limekauka au kusinyaa kbsa nakushauri acha kbsa wala usidhubutu kuingiza dushe utanasia hapo au kiono kuteguka.

Huo ni ushauri wa bure!
 
Asante mkuu,nitaleta mrejesho ;) ;) siku si nyingi.
 
Yaani, umachoambia watu wafanye ni sawa na Mr. Musukuma na Kikombe cha Babu
 
kuna siku nilikuwa napiga stori na bibi,akanambia babu alimuwekea tego,ilikuwa hata akiwa shambani halafu kuna mwanaume kaja anapiga naye stori ,babu anatokea ghafla inabidi mwanaume ale kona .Kumbe hakuwa babu ilikuwa ni tego
 
Back
Top Bottom