Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

Leo nilikuwa najisikia mnyonge..ila hii msg imenifanya nicheke saana.
 
Babuu wa Kitaa anaijua hii mbinu ya kutegua mtego?

-Kaveli-
 
Ni mara nyingi sana tumesikia au kuona watu (mwanamke na mwanaume)wakiwa wamenasiana au kupoteza maisha on spot,au kutofanikisha kupiga game kwa mwanaume kuona mauzauza wkt wakutaka kufanikisha tendo husika.

Kutokana na wivu wa kimapenzi au kutokuaminiana kati ya wanandoa au wachumba hupelekea baadhi ya wanaume kuwawekea "mtego" wake zao endapo atachepuka basi 'adui' aweze kukamatika au kudhurika.
Kuna namna mbalimbali za kuweka huo mtego na kikubwa hapa mkeo hapaswi kufahamu kama umemtega na wkt mwingine ukijichanganya tu,unajiteka mwenyewe.

Kwa mfano;wkt unataka kutoka au kusafiri na unataka kuweka huo mtego basi unaweza kumwita mkeo kama yupo nje then wkt huo unaweka huo mtego chini ya mlango na unahakikisha lazima aruke huo mtego;baada ya hapo umemaliza.Akichepuka tu majibu utayapata huko ulipo.
Hakikisha unaporudi lazima utegue kwanza kwa njia hiyohiyo hapo juu kabla ya kumparamia(kula papuchi) mbali na hapo unajinasa mwenyewe.Kama Mtego wako ulikuwa mtu (adui)avunjike kiuno basi na wewe lazima kiuno kivunjike ukisahau kutegua.

Sasa ukitaka kufahamu mwanamke aliyewekewa mtego fanya lifuatalo;
Wkt mmepanga kwenda faragha kupiga hiyo game ya kirafiki basi ww mwanaume chukua Jani lolote bichi(liwe pana kidogo )weka mfukoni mwako.Mkishafika kabla ya kuingiza machine chukua lile jani lako weka juu ya papuchi.Ukiona hilo jani limekauka au kusinyaa kbsa nakushauri acha kbsa wala usidhubutu kuingiza dushe utanasia hapo au kiono kuteguka.

Huo ni ushauri wa bure!
Hizi ni porojo za kungojelea ugali wa jioni uive.Hizi habari ni propaganda za kutisha watu wenye tabia za kubeba wake za watu, kisayansi ni upuuzi mtupu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua cna mpango kwa kuchepuka lkn kama umenishawish nianze sema na wake za watu vile [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nitaleta mrejesho jamn siku si nyingi
 
Duh! Yaani tokea nione jamaa mmoja uume umenaswa kwenye uke huku Korogwe sina ukaribu na mke wa mtu, yaani jamaa waliangaishwa kwa kupelekwa hospital bado kitu haikunasuka, hadi kituo cha polisi ila huko walitolewa nduki, yaani ilikuwa kituko kwa kupigwa mipicha mtaani... yaani mpaka mwenye mke alipotumiwa milioni tano ndo kitu ikachomoka. MKE WA MTU SUMU AISEE!
 
Back
Top Bottom