Mkuu lazima umweleze nia yako coz huwa wanategwa bila wao kufahamu.Kwanza atafurahi sana maana mnaweza aibika wote wawiliHuyo mwanamke atakuona kama mchawi! Yaani unataka kugegeda anaona unatoa jani bichi unaweka kwenye nyapu[ emoji23] [emoji23]
Nimejaribu kufikiri kwa vitendo nimejikuta nimecheka sana!
Hapana kuna jani kwa kipigoro ilinaitwa shogashoga yaani hilo majibi within 1 minDuh ngoja nianze kutembea na majani ya chaineze mfukoni.
Mkuu jani likipotea na kama ni muoga wa kukamatwa na mtego basi ni bora kuahirisha mechi au uende hata gengeni mbio ununue jani la spinachiKweli kabisa mkuu.
Jani linaweza potea ukiwa unaenda kwenye papuchino, sasa sijui maelezo utaoa yepi kuwa hutaki kuchimbua papuchino!!
Teeeh teeeh Haaa haaa Haaa haaa
Kwanini jani lipotee. Unabeba fungu la mboga "chinese"Kweli kabisa mkuu.
Jani linaweza potea ukiwa unaenda kwenye papuchino, sasa sijui maelezo utaoa yepi kuwa hutaki kuchimbua papuchino!!
Teeeh teeeh Haaa haaa Haaa haaa
Hilo TEGODawa gani mkuu?
Tego zipo za aina nyingi kiongozikuna siku nilikuwa napiga stori na bibi,akanambia babu alimuwekea tego,ilikuwa hata akiwa shambani halafu kuna mwanaume kaja anapiga naye stori ,babu anatokea ghafla inabidi mwanaume ale kona .Kumbe hakuwa babu ilikuwa ni tego
Ok mkuuNafahamu namna mbalimbali za kutegua tu,dawa siifahamu
Kila ndumilakuwili mi huwa unaniachaga hoi sanaaaDuh ngoja nianze kutembea na majani ya chaineze mfukoni.
Aaaakiii mnaniua mbavu zangu. Atiii unabeba fungu la chainizi... Au majani ya mgomba kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini jani lipotee. Unabeba fungu la mboga "chinese"