mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Wahenga walikua mafala sana hawa.Lakuambiwa changanya na akili zako, wahenga hawakuwa wajinga japokuwa sijawahi kuwaona.
Walipewa gololi wakatoa diamonds.
Wahenga walikua mafala sana hawa.Lakuambiwa changanya na akili zako, wahenga hawakuwa wajinga japokuwa sijawahi kuwaona.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh ngoja nianze kutembea na majani ya chaineze mfukoni.
Ukiwa na ugwadu utapiga tu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]**** kutekwa nyara (penis captivus) sio uchawi .Tendo la ndoa halitakiwi lifanyike mkiwa na hofu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hili jamaa kwa kuongopa ni balaa,waongopee hao hao wajinga wako.
Lakuambiwa changanya na akili zako, wahenga hawakuwa wajinga japokuwa sijawahi kuwaona.
Lakuambiwa changanya na akili zako, wahenga hawakuwa wajinga japokuwa sijawahi kuwaona.
izo nyingine jehiyo mbinu ya kwenda na ala yako inategemea na aina ya manuizi wkt wa kutega..kile kisu huwa kinanuiziwa na mume na yy pekee ndo ana uwezo wa kuwategua wagoni kwa kukichomoa kwenye ala kilimonuiziwa so ukija na ala yako ni bure tu...njoo kwangu na ala yako ujaribu....
Ni mara nyingi sana tumesikia au kuona watu (mwanamke na mwanaume)wakiwa wamenasiana au kupoteza maisha on spot,au kutofanikisha kupiga game kwa mwanaume kuona mauzauza wkt wakutaka kufanikisha tendo husika.
Kutokana na wivu wa kimapenzi au kutokuaminiana kati ya wanandoa au wachumba hupelekea baadhi ya wanaume kuwawekea "mtego" wake zao endapo atachepuka basi 'adui' aweze kukamatika au kudhurika.
Kuna namna mbalimbali za kuweka huo mtego na kikubwa hapa mkeo hapaswi kufahamu kama umemtega na wkt mwingine ukijichanganya tu,unajiteka mwenyewe.
Kwa mfano;wkt unataka kutoka au kusafiri na unataka kuweka huo mtego basi unaweza kumwita mkeo kama yupo nje then wkt huo unaweka huo mtego chini ya mlango na unahakikisha lazima aruke huo mtego;baada ya hapo umemaliza.Akichepuka tu majibu utayapata huko ulipo.
Hakikisha unaporudi lazima utegue kwanza kwa njia hiyohiyo hapo juu kabla ya kumparamia(kula papuchi) mbali na hapo unajinasa mwenyewe.Kama Mtego wako ulikuwa mtu (adui)avunjike kiuno basi na wewe lazima kiuno kivunjike ukisahau kutegua.
Sasa ukitaka kufahamu mwanamke aliyewekewa mtego fanya lifuatalo;
Wkt mmepanga kwenda faragha kupiga hiyo game ya kirafiki basi ww mwanaume chukua Jani lolote bichi(liwe pana kidogo )weka mfukoni mwako.Mkishafika kabla ya kuingiza machine chukua lile jani lako weka juu ya papuchi.Ukiona hilo jani limekauka au kusinyaa kbsa nakushauri acha kbsa wala usidhubutu kuingiza dushe utanasia hapo au kiono kuteguka.
Huo ni ushauri wa bure!
ThibitishaSasa ukitaka kufahamu mwanamke aliyewekewa mtego fanya lifuatalo;
Wkt mmepanga kwenda faragha kupiga hiyo game ya kirafiki basi ww mwanaume chukua Jani lolote bichi(liwe pana kidogo )weka mfukoni mwako.Mkishafika kabla ya kuingiza machine chukua lile jani lako weka juu ya papuchi.Ukiona hilo jani limekauka au kusinyaa kbsa nakushauri acha kbsa wala usidhubutu kuingiza dushe utanasia hapo au kiono kuteguka.
Huo ni ushauri wa bure!
Duh ngoja nianze kutembea na majani ya chaineze mfukoni.
Inabidi uende umejiandaa mkuuHaaaa haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh teeeh teeeh.
Naona itakuwa game ya mbuzi kula Chinese na siyo papuchino cup
Ha ha haa la mgomba itakuwa poa zaidi. Sipati picha mtu anaingia guest house na jani la mgomba!!Aaaakiii mnaniua mbavu zangu. Atiii unabeba fungu la chainizi... Au majani ya mgomba kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaaaaa.Mmmh inawahusu wachepukaji hii