Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

Uzinzi + ulozi = jehanam. Unaloga kuwadhuru wazinifu, kisha unafundisha mbinu za kukabiliana na huo uchawi kwa faida ya zinaa. we jamaa ni mfuasi wa shetani
 
Ni kweli tego ziko nyingi na ni tofauti tofauti. Labda nisaidie kidogo. "Tego haiteguliwi na mwizi" Bali na aliyetega tu. Msidanganyike ndugu zangu. Kama mwanamke amewekewa tego wewe mwizi huwezi kumtegua.. Njia zote hizo ni za kupima kujua kama ametegwa au la..Lakini sio kutegua. Na tego lolote huenda na manuizio toka kwa mtegaji.. Unapotaka kwenda na mwanamke au binti wa mtu, kwanza ujue kuwa mbele za Mungu ni kosa. Ila ukishindwa kujizuia, basi chukua Wembe, au Sindano. Kabla ya kuingiza Uume wako, pitisha wembe sentimita moja juu ya mlango wa uchi wake,pitisha wembe ukiwa umelazwa usije ukamkata. Kama amewekewa tego, wembe au sindano, itavunjika.. Basi mwambie kuwa, amewekewa tego, na iwe mwisho ondoka zako. Hapo hujategua, ukiendelea umekwisha..Jambo zuri ni kuepuka wake za watu, zipo tego mbaya zaidi kama tego ya kuchanjia damu ya paka hii utaitoaje?.
 
Kwa nini niwe mtumwa wa papuchino wakati zote zinafanana!

Haya, michepuko njooni humu JF mpate kutegua mitego ya tego la wagoni wenu.
Boy. This a stupid comment I seen in a while....
 
Ni kweli tego ziko nyingi na ni tofauti tofauti. Labda nisaidie kidogo. "Tego haiteguliwi na mwizi" Bali na aliyetega tu. Msidanganyike ndugu zangu. Kama mwanamke amewekewa tego wewe mwizi huwezi kumtegua.. Njia zote hizo ni za kupima kujua kama ametegwa au la..Lakini sio kutegua. Na tego lolote huenda na manuizio toka kwa mtegaji.. Unapotaka kwenda na mwanamke au binti wa mtu, kwanza ujue kuwa mbele za Mungu ni kosa. Ila ukishindwa kujizuia, basi chukua Wembe, au Sindano. Kabla ya kuingiza Uume wako, pitisha wembe sentimita moja juu ya mlango wa uchi wake,pitisha wembe ukiwa umelazwa usije ukamkata. Kama amewekewa tego, wembe au sindano, itavunjika.. Basi mwambie kuwa, amewekewa tego, na iwe mwisho ondoka zako. Hapo hujategua, ukiendelea umekwisha..Jambo zuri ni kuepuka wake za watu, zipo tego mbaya zaidi kama tego ya kuchanjia damu ya paka hii utaitoaje?.
Hiyo ya kuchanjia Damu ya paka ikoje mkuu?
 
Ni mara nyingi sana tumesikia au kuona watu (mwanamke na mwanaume)wakiwa wamenasiana au kupoteza maisha on spot,au kutofanikisha kupiga game kwa mwanaume kuona mauzauza wkt wakutaka kufanikisha tendo husika.

Kutokana na wivu wa kimapenzi au kutokuaminiana kati ya wanandoa au wachumba hupelekea baadhi ya wanaume kuwawekea "mtego" wake zao endapo atachepuka basi 'adui' aweze kukamatika au kudhurika.
Kuna namna mbalimbali za kuweka huo mtego na kikubwa hapa mkeo hapaswi kufahamu kama umemtega na wkt mwingine ukijichanganya tu,unajiteka mwenyewe.

Kwa mfano;wkt unataka kutoka au kusafiri na unataka kuweka huo mtego basi unaweza kumwita mkeo kama yupo nje then wkt huo unaweka huo mtego chini ya mlango na unahakikisha lazima aruke huo mtego;baada ya hapo umemaliza.Akichepuka tu majibu utayapata huko ulipo.
Hakikisha unaporudi lazima utegue kwanza kwa njia hiyohiyo hapo juu kabla ya kumparamia(kula papuchi) mbali na hapo unajinasa mwenyewe.Kama Mtego wako ulikuwa mtu (adui)avunjike kiuno basi na wewe lazima kiuno kivunjike ukisahau kutegua.

Sasa ukitaka kufahamu mwanamke aliyewekewa mtego fanya lifuatalo;
Wkt mmepanga kwenda faragha kupiga hiyo game ya kirafiki basi ww mwanaume chukua Jani lolote bichi(liwe pana kidogo )weka mfukoni mwako.Mkishafika kabla ya kuingiza machine chukua lile jani lako weka juu ya papuchi.Ukiona hilo jani limekauka au kusinyaa kbsa nakushauri acha kbsa wala usidhubutu kuingiza dushe utanasia hapo au kiono kuteguka.

Huo ni ushauri wa bure!
Sasa mkuu kuchukua jani kuliweka juu ya papuchi mtoto si atakuona mwanga? au inabidi umueleweshe kabla?
 
Naomba ufafanuzi kidogo mkuu,
Je Oral sex inaweza kuwa na madhara ya Tego?
 
Shida itakuwa pale ambapo umtega mkeo lakini kabla ya mkeo huyo hajauruka mtego kauruka bintiyo
 
Ila hyo mishe ya kutembea na majani.. mh.. noumaH sana kwanza demu menywe anaweza kukunyima papuchi kabisa
 
Sasa mkuu kuchukua jani kuliweka juu ya papuchi mtoto si atakuona mwanga? au inabidi umueleweshe kabla?
Unamweleza kwanza mkuu,maana huwa wanategwa bila kujua.Ni bora kutest kwanza (kama una wasiwasi )kuliko kwenda mazima then gafla unaona Operation tokomeza maovu na mikamera juu ikishuhudia mlivyogandiana.Fedheha na aibu itakuwa kwenu wawili
 
Naomba ufafanuzi kidogo mkuu,
Je Oral sex inaweza kuwa na madhara ya Tego?
Mkuu usicheze na feeling za mapenzi.unaweza tu sema "baby tufanye tu Oral" gafla mnajikuta boksa na kyupi vimevukaje mwilini.Sasa kama kuna Tego basi unaondoka nalo
 
Shida itakuwa pale ambapo umtega mkeo lakini kabla ya mkeo huyo hajauruka mtego kauruka bintiyo
Mkuu unahakikisha mkeo ndo anaruka tego.Kama akiruka bintiyo sio tatizo pia coz lengo ni kukamata Fataki
 
Back
Top Bottom