kwenye pool table tunaita stop short,Tangu nimekunyima namba ya mganga wa Namanyere umekuwa ukiniandama sana kana kwamba nimekugongea Maza ako.
Shukrani kipenzi kuna mpya kaiweka entertainment umeisoma
Ile ya akinyi au?Shukrani kipenzi kuna mpya kaiweka entertainment umeisoma
Ewaaah hiyohiyoIle ya akinyi au?
Nipo naisomaEwaaah hiyohiyo
Ila naisoma bado bado siielewi labda mbeleni ukoNipo naisoma
Shida muundo wake ni wa kurukia matukio ndiyo maana inakua haieleweki ila baadae tutakua kwenye mstariIla naisoma bado bado siielewi labda mbeleni uko
Eenh labda baadae tutaielewaShida muundo wake ni wa kurukia matukio ndiyo maana inakua haieleweki ila baadae tutakua kwenye mstari