waganga wa kienyeji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji na wachawi wote wanatumia nguvu za giza, ushirikina

    1.wote mganga wa kienyeji na mchawi wanapokea/wanatumia nguvu za ufalme wa giza. 2.wote mganga wa kienyeji na mchawi wanaoeleka sadaka zao,kafara,dhabifu mbele ya madhabahu moja ya ufalme wa giza(lucifer gerofekale) 3.miungu yao wote ni mashetwaini,mizimu,majini,malepo,mkuu wa anga,mkuu wa...
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Damu zilizomwagwa 29 October hazitanyamaza kwa matambiko na dawa za waganga wa kienyeji

    Haki ni haki, tena haswa inapokuwa ni haki ya kuishi. Hii ni haki maalumu ambayo huambatanishwa na damu. Unapomnyima mtu haki yake ya asili ya kuishi unakuwa umemgusa moja kwa moja yule aliyeifanya haki ya kuishi yaani Mungu. Wale waliofanya kosa kubwa la kuingilia haki hii ya asili ya kuishi...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji jihadharini

    Nilikuwa mmoja wenu nikafika level za juu.. Haikuwa rahisi nilikwepa mitego mingi na kuzishinda changamoto nyingi Kuna jambo jipya kiasi linajiinua kwa kasi ya ajabu.. Mnahusishwa na mauaji yanayoendelea nchini.. Je mnahusika kweli? Je mnageuzwa mbuzi wa kafara? Mauaji ya Katibuni 1. Yule...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

    Je, wewe ulishawahi kwenda kwa waganga wa jadi?. Tupe baadhi ya visa ulivyokutana navyo huko kwa mganga/waganga wa jadi. Karibuni
  7. Isenye

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

    Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji. Sasa mimi mchongo mzima naujua...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kienyeji siyo wa Kuwaamini kivile au sana hata kama Wakikuaminisha kwa Kukufuru, tuwe makini na tuache Dharau na Jeuri za Kipuuzi

    GEITA: MBUNGE wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo. Msukuma amesema hayo mbele ya waandishi wa habari mjini Geita mara baada ya...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Waganga wa Kienyeji, mgombea akija na fungu, wewe kula; lakini…

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya ZIWA, leo tarehe 21 Juni, 2025, Rais Samia amesema: "Ombi langu hasa kwa viongozi hasa wa kimila, waganga wale wa kienyeji ombi langu, kipindi hiki wanaoomba kupata nafasi mbalimbali watawatembelea na wanapo watembelea...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Onyo: Hakuna atakayevumiliwa kwa kuficha Mgonjwa wa Mpox, wakiwemo waganga wa kienyeji

    Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Wajanja Wanaocheza na Akili za Wanawake?

    Katika dunia inayokumbwa na matatizo yasiyokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, na ndoto zilizokwama—watu wamegawanyika katika makundi mawili. Wapo wanaotafuta suluhisho kwa kutumia akili, na wapo wanaokimbilia miujiza isiyo na msingi wowote wa kisayansi. Sehemu kubwa ya kundi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Iringa limetangaza vita dhidi ya wagaga wa kienyeji wanaochochea vitendo vya ubakaji

    Tumalize maadhimisho haya kwa kuahidi kuchukua hatua dhidi ya Ukatili wa Kijinsia na kujenga Dunia yenye Haki na Usawa Sote tuna jukumu la kuhakikisha tunakuwa sehemu ya suluhisho ili kuleta mabadiliko ya kweli Soma Pia: Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliokulia vijijini, kutukanwa kwa waganga wa kienyeji inatuumiza sana

    Kuna wimbi la watu wasiojua hata historia yao ya kiafya na ambao hawajui chochote kuhusu Waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa hospitali juzi juzi tu hapa. Cha ajabu nyumbu wanathamini zaidi kilichogunduliwa juzi tu...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya waganga wa kienyeji na matapeli wa kidini waliotapakaa nchini na Afrika

    Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao. Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi. Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza. Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi. Wote wanatafuta kupiga fedha. Wote ni wababaishaji. Je, hawa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Waganga Tiba Asili kukutana Chalinze, kutoa huduma za kitabibu bure

    Waganga Watafiti wa Tiba Asili wapatao 250 kutoka Afrika wanakutana nchini Tanzania kutembelea Mzimu wa Afrika uliopo Chalinze mkoani Pwani na kutoa huduma za kitabibu bure kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa sugu. Hayo...
  18. Mjomba side

    JamiiForums Tanzania Wale ambao huwa mnakwenda kwa waganga wa kienyeji kimya kimya hii kitu inawahusu

    Mshikaji wangu mmoja baada ya kumaliza Chuo mwaka 2014 na kukosa Kazi, aliingia kwenye biashara za M Pesa, Tigo Pesa na bank. Mpaka mwaka 2020 alikuwa amejenga nyumba kubwa na kuanzisha familia. Kijiwe chake kilikua sana na kitu nilichokiona pale ilikuwa ni nidhamu. Jamaa alikuwa anafungua...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Matukio haya mawili yalinifanya nisiwaamini waganga wa kienyeji

    Likizo moja mwaka 2021 nilienda kula X mas ujombani,nikakuta mganga maarufu hapo kijijini amekwenda kituo cha polisi kuripoti juwa ameibiwa TV yake 2.Kuna familia moja naifahamu haba yao ni mganga ila cha ajabu juna wahuni wanachepuka na mke wa huyo mganga na juba jamaakampiga ujauzito binti wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Binafsi nina wasiwasi hizi simuliza za maiti kukutwa kwa Waganga wa Kienyeji isije kuwa kichaka cha kuficha na kuwavua uwajibikaji "Wasiojulikana"

    Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu! Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini! Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
Back
Top Bottom