Namna mpango mzima wa kukamatwa Hush Puppy (Bilionea wa Kinigeria) ulivyo chezwa

Jamaa ni tapeli la kimataifa. Marekani ana kesi za kuiba millions of dollars
Halafu anawadanganya watu mwanzo alikuwa anauza nguo za mitumba ana wa influence kuwa unaweza anza chini. Kumbe wizi wake wa kimataifa
 
Nimesoma hii habari jana kwenye daily mail,yani jamaa wamemkuta ndani na 30m USD....bumba la balaa,alafu jamaa anatuhukiwa ku-scam watu wa ulaya USA zaidi ya 350m US dollars.
 
Niki on an tuna avant a ujanja anawaibia wazungu mabillionnhuyonndionnamtakanmaana anarudisha sehemubtulioibiwa na wazungu. Wananigeria huwa nawakubali sana wameendeleza nchi yao kwa kuwaibia wazungu kama sehemu ya kurudisha fedha za afrika
 
Mhh?
 
Huyu jamaa ana akili sana, sema hakuwa na akili timamu za kuzungusha pesa zake. Blood fool. Afu angeachana kabisa na mamitandao. Kenge kabisa
 
Back
Top Bottom