[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]It works ehhh [emoji23][emoji23][emoji23]Usipokee simu wala kujibu text.simple
Unatafuta amani wakati wa vita...unaitaka kuipamba vita iwe vita ya amaniMimi wala sitaki kutake advantage sitaki tu tuwe maadui that’s it
Hahahahah Sister uadui hapo unakujaje??Mimi wala sitaki kutake advantage sitaki tu tuwe maadui that’s it
Eeeh,Nina experience 😁😁😁[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]It works ehhh [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]i seeEeeh,Nina experience [emoji16][emoji16][emoji16]
Muombe pesa milioni 5 ya vipodoziHivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?
Naombeni ushauri......
Wewe una udole wa kumkataa hivyo mwanaume aliyekuhonga pakubwa akala padogo?Muite kwa jina lake…
Kisha mwambie.. I see no future btn me and you. Hayo mambo ya hujui kesho ni nini, em tulia. Kesho ni Alhamis.
Simple as that.
Usijichekeleshe na emoj.
Huhuhhh nimemkumbuka boya fln ivi 😂Mwambie kiakili tu , kiukweli nipo kwenye mahusuano tayari so kuwa msaliti siwezi ila wewe ni mtu mzuru sana and i hope ipo siku utapata wakukupenda
We mwenyewe unamtaka ila sio kwa saiv ndo mana mwili na akil vinabishana cha Muhm muonjeshe then ukimuitaj kwa chcht atakuwa tayar maana hawara hana tarakaHivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?
Naombeni ushauri......
🤣🤣🤣🤣 Utasikia siwezi date na mwanamke asiye na malengo.....Mil 5 ni nyingiMuombe pesa milioni 5 ya vipodozi
Kesho ni alhamisi cio [emoji28]Muite kwa jina lake…
Kisha mwambie.. I see no future btn me and you. Hayo mambo ya hujui kesho ni nini, em tulia. Kesho ni Alhamis.
Simple as that.
Usijichekeleshe na emoj.
Muombe pesa milioni 5 ya vipodozi
ungekua wew ndio unafanyiw hvo...Usipokee simu wala kujibu text.simple
Ningefurahi kuliko kuwa kwenye mahusiano ambayo mwenzagu namtesa hanitaki,yupo na Mimi kinafikiungekua wew ndio unafanyiw hvo...
Hahahahah Sister uadui hapo unakujaje??
Kukataliwa na kukubaliana na hali halisi ni part kubwa sana ya maisha ya mwananume, ataelewa tuu.
Khee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Unataka umuweke kiporo ili ukifikisha miaka 34 huna mchumba na ushazalishwa umkubalie?