Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Hii mambo ya kuweka watu viporo ndio inawakosti wanawake.

Apo ukute kuna kijamaa kilikua kinakutaka zamani ukakichomolea kwa kuwa hakikuwa na hela saivi kimejipata umeanza kujirudi.

Even huo urafiki unaotaka ubakie if hauna benefits kati yenu wote then you'll lose all. Amini
 
Huu uoga uoga wa "hatujui kesho" ndo unaletaga mambo ya kiwaki.
Ntakushauri kama binti yangu, tell him the truth kistaarabu kua hauko tayari kuwa nae kwa sababu zako binafsi. Kama n mwelewa atakubali yaishe, kama sio mwelewa atanuna but its not your problem.
Kuhusu kusaidiana huko mbele, stil its not your problem. Maisha yana ramani nyingi sana, hakuna assurance kuwa mlango wake ndo utakuwa mlango pekee. Mpka hapo ulipo nna uhakika ushakosa msaada mara nyingi tu.
Learn to rely on yourself, ili hata akizingua huko mbele isikufanye ukakata tamaa.
Tofaut na hapo create relationships either sexual or non sexual with other people. Your network is your net worth
 
Kabla ya kufanya hilo jambo, kaa sehemu tulivu kisha jiambie. " Mimi ni mbinafsi"

Kwanini unawazia nafsi yako pekee yako kupata furaha na hujali kuhusu mwenzio. Najua kuna mtu atasema je kama Moyo wangu haupo kwake tena... nakuuliza ilikuaje ukamkubalia awali? Moyo ulikua wapi kabla yake?!?.

Kama umehisi hivo ndani yako amini ndio itakua lifestyle yako "holding and freeing" wala ndoa haitaweza kukusaidia. Cheating on progress.

Lastly u you want him retained/ reserved as a friend.
Probably huna idea na uzoefu ya heartbreak. Ila mwana kama nae mambo mengi wala haita msumbua. Mtapasha viporo forthcoming days.

Devil' wins his mission easily Just by simple weapon, SEPARATION/FISSION.
sijawahi kudate nae
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Hii ni tabu sasa! sio tatizo kuwa kumkataa mwanamme kwa sababu humpendi na sio shida kubaki kuwa good friends, tatizo lako ni kuwa unataka kubaki nae as friends sio kwa sababu za kirafiki ila ni kwa sababu za kimanufaa tu! Huo sio uungwana! Kuwa mkweli mkatae kwa sababu humpendi, usijianye rafiki yake ilhali lengo sio urafiki bali kumchuna buzi tu!
 
Back
Top Bottom