gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
- Thread starter
- #21
Dah Mwalimu gfsonwin kwanza hongera sana kwa kufikisha huu umri mrefu wa ndoa yako na bado ukaendelea kutamani kuendelea kuwepo kwenye ndoa yako. Ni wengi ambao wapo ndani ya ndoa ila ukiwauliza ni nini wanachotamani wangeweza kukuambia ni kuvunjika kwa ndoa zao kila mmoja ashike njia yake ila kwako hongera sana kwa kuwa bado una ule upendo wako wa kwanza wa siku za uchumba na siku za mwanzo wa ndoa yako. Hongera sana sana
Natamani tulio kwenye ndoa tungekuw ana ujasiri kama huo kusema wazi namna tulivyowamiss wapendwa wetu namna umbali uliopo kati yetu na wao unavyotuumiza na namna tunavyowapenda. Nahisi huko waliko wanajisikia vyema sana wakiambiwa kuwa wanapendwa na kuna mtu anawamiss sana.
Nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha umri huu wa ndoa yako na naamini Mungu atazidi kuwajalia baraka zake na rehema zake katika kufanikisha mengi ya ndoa yenu na ikawe ya heri na baraka.
(off topic hata mimi nammiss sana my wife wangu popote alipo muda huu na namwambia nampenda sana)
thanks ma bro, namimi nakutakia maisha merefu sna ana yenye baraka kwenye ndoa yako.
ila jua kwamba na mkeo nae anaumia the as wewe unavyoumia kwa kumkosa.