Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

hujamuelewa Dark City yaani anamaanisha ninaomboleza kumiss huzzy kwa muda mrefu wa mwaka. so wewe unanishekesha ili hali bado dawa sijaipata.

Afadhali umenijibu haraka nilikuwa nakuja chumbani kwako kufanya check and balance...................mm mwenyewe nimeshangaa maana jana nimeongea nae na hajambo, na anasema pia kakumiss sana kushinda hata wewe......na kweli tukapima kwa kutumia kipima joto na ikaonekana yeye amekumis zaidi............heeeeee Dark City kidogo niwe nyuma ya wakati!!!
 
Last edited by a moderator:
Mwalimuuuu gfsonwin pole kwa kummiss kipenda roho!

BTW huu uzi mtamujeee...

I wish I wish hubby wako angekua anajua I'd yako afu akapita hapa lolz.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mwambie basi arudi kutuona jamaniiiiiii
 
Mwalimuuuu gfsonwin pole kwa kummiss kipenda roho!

BTW huu uzi mtamujeee...

I wish I wish hubby wako angekua anajua I'd yako afu akapita hapa lolz.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kuliko kinachomsumbua gfsonwin kinapotolewa?
 
Last edited by a moderator:
POLE na HONGERA saana... Ungekuwa na akili mbaya, ungwshamsaliti...
 
Mwalimuuuu gfsonwin pole kwa kummiss kipenda roho!

BTW huu uzi mtamujeee...

I wish I wish hubby wako angekua anajua I'd yako afu akapita hapa lolz.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
asante sana, naamini atausoma siku moja
 
Kongosho una balaa yan mtu ananyonga kifanyio?
Kwa mwanaume sawa coz ana kining'inio ila wewe mwenye cha kubandika utakinyongaje?
 
Last edited by a moderator:
Hujawahi sikia kajinyonga miguu lakini kafa??

Kuna teknik za kila aina

:gossip: Niliwahi kuwa ngariba enzi za ujamaa:lying:

Kongosho una balaa yan mtu ananyonga kifanyio?
Kwa mwanaume sawa coz ana kining'inio ila wewe mwenye cha kubandika utakinyongaje?
 
Mmh, movie kali
FP 1-Konnie 2
Na hapo sijaroga bado, ni maneno laini laini tu

Sasa kwa nini huwa unajidai kuomba ruhusa kwa bibi?
Una hiyana ujue?

Nashangaa sijui huu uzi umenipitaje?
Mwaya, ifuate huko iliko, ipandie hata ndege bana
Pesa makaratasi, hasara roho

Afu ya kuifungia safari hunoga,nna ka uzoefu hako.

nilijua kuwa utajidai kwamba unajua kusoma.

Hapa tunaongelea issue ya teacher, baasasaaasiiiii!
 
ILA KWELI!
katibu wa kikao awe Kaunga
ila kwa leo tuhakikishe tu kuwa kabla ya april 21lets mek it happen!

Hivi katibu ndio mhazini pia; maana nataka kujitolea kukusanya michango hadi ifikie nauli $2,270.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom