hujamuelewa Dark City yaani anamaanisha ninaomboleza kumiss huzzy kwa muda mrefu wa mwaka. so wewe unanishekesha ili hali bado dawa sijaipata.
mwambie basi arudi kutuona jamaniiiiiiiAfadhali umenijibu haraka nilikuwa nakuja chumbani kwako kufanya check and balance...................mm mwenyewe nimeshangaa maana jana nimeongea nae na hajambo, na anasema pia kakumiss sana kushinda hata wewe......na kweli tukapima kwa kutumia kipima joto na ikaonekana yeye amekumis zaidi............heeeeee Dark City kidogo niwe nyuma ya wakati!!!
thanks hny
Kongosho una balaa yan mtu ananyonga kifanyio?
Kwa mwanaume sawa coz ana kining'inio ila wewe mwenye cha kubandika utakinyongaje?
Mmh, movie kali
FP 1-Konnie 2
Na hapo sijaroga bado, ni maneno laini laini tu
Sasa kwa nini huwa unajidai kuomba ruhusa kwa bibi?
Una hiyana ujue?
Nashangaa sijui huu uzi umenipitaje?
Mwaya, ifuate huko iliko, ipandie hata ndege bana
Pesa makaratasi, hasara roho
Afu ya kuifungia safari hunoga,nna ka uzoefu hako.
nilijua kuwa utajidai kwamba unajua kusoma.
Hapa tunaongelea issue ya teacher, baasasaaasiiiii!