Nami nimeitwa baba

Nami nimeitwa baba

baba bwana me nitakuwa nakaa na njaa mi sitaki nataka awe na vyote

Hapana mwanangu me siwezi kukuona unapata shida mi nataka kukuona una amani everyday. Wewe ikimuona anafaa mlete nyumbani
 
Hongera sana mkuu kwa uvumilivu, miaka 13!!!!
...lakini kisumapai, hiyo picha ya kwenye avatar ni yako? Kama ni kweli kapime dna mkuu 🙂
 
mkuu kisumapai,kule chit chat ulianzisha uzi ukisema unahitaji kujiunga na jeshi kwani unalipenda sana ila mama yako sijui hataki, hapa unasema umepata mtoto baada ya miaka 13, nikijaribu kufanya linkage nashindwa kupata validity ya hii post. very likely umetudanganya na huyu mtoto si wako ni wandungu yako aliyebahatika kupata mtoto juzi wewe ukiwa kama uncle/babamdogo etc. wa mtoto ukampiga picha nakuipost hapa. correct me if am wrong!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana, Mungu ndio kila kitu, sio binadamu, usiogope binadamu mwenzio, Muogope Mwenyezi Mungu
 
hongera sana Mungu amkuze ktka maarifa na hekima na afya njema mtoto wako awe taa ing'arayo darasani
awe wa juu zaidi na si wa chini besti hongereni
 
Hongera sana...mtoto mzuri sana maashallah

Mungu amjaalie afya njema na maarifa aje akufae utakapohitaji zaid msaada wake (uzeeni)

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mungu akulelee na kukulindia heshima yako hiyo ya kuitwa Baba, azidi kukupa na wengine kwa kadiri ya neema zake
 
mkuu kisumapai,kule chit chat ulianzisha uzi ukisema unahitaji kujiunga na jeshi kwani unalipenda sana ila mama yako sijui hataki, hapa unasema umepata mtoto baada ya miaka 13, nikijaribu kufanya linkage nashindwa kupata validity ya hii post. very likely umetudanganya na huyu mtoto si wako ni wandungu yako aliyebahatika kupata mtoto juzi wewe ukiwa kama uncle/babamdogo etc. wa mtoto ukampiga picha nakuipost hapa. correct me if am wrong!

.kwa hii inatia mashaka....
 
Last edited by a moderator:
Mola kajaalia , Pongezi nyote baba, mama na mtoto, Mwenyezi Mungu ayajaalie maisha yenu yawe ya furaha na upendo.
 
Kwanza nikupe hongera kwa uvumilivu wa kuweza kutetea na kupigania ndoa yako kwa miaka yote hiyo ambayo ulikosa mtoto.
Pili nikupongeze kwa kupata mtoto wa kike.Nakuombea umlee katika njia zinazompendeza Mungu.
Kila la kheri kwako na Familia mkuu.
 
Back
Top Bottom