Hongera kwa mkeo kukuondolea aibu...hata kama si wako who care!
Dah..! JF kweli hatari kwelkweli...!
Mashallah mtoto mzuri sana....i realy love kids.... Mungu akuekee mkuu na akupe wengine wengi wenye kheri
Hongera, ulifanyaje mpaka ukampata?
Wacha bwana...unataka akuwekee picha ya mechanism iliyotokea?
Hongera kwa mkeo kukuondolea aibu...hata kama si wako who care!
baba shikamooo .... hata me unanipenda lakini bado
mh! kwahio km bado hujajaaliwa mtoto inakuwa nia AIBU? jamani, si mipango ya Mwenyezi Mungu hiyo au? hakuna anayependa kukosa mtoto hasa wakati ule ambao anahitaji...ni rehma za Mwenyezi Mungu hizo na sidhani km kuna ishu ya aibu....maana umenitisha hata mie bado sijajaaliwa sasa km ni hali hii ni aibu basi mtihani ni mkubwa na mgumu zaidi...

Wewe una mtoto?
Bi dada pamoja na mambo mengine mtoto ni nakshi katika ndoa jamani...how come ukae kwa mtu say ten years bila ata dalili? Hata ka huna mawifi wakukusema lazima ukacheki ramli ili ujue kama yaliyomo yamo!
bado sijajaaliwa ndg yangu...nahangaika tu na upweke