Nami nimeitwa baba

Nami nimeitwa baba

hongera sana sana kwa uvumilivu na kumsubiri Mungu, baba nani vile?
 
Kila kitu kinawezekana kama mungu atasema ndiyo hakuna binadamu wa kusema hapana ni baada ya kukaa na mke wangu kwa kipindi cha miaka 13 bila kupata mtoto atimaye mke wangu ajifungua mtoto wa kike wanajamiiF nipongeze View attachment 137280

nawapongeza kwa jins mlivyoweza kuisubir ahad ya Mungu kwa uvumilivu. ni wachache sana wenye moyo huo.
 
Hongera mkuu, mtoto anasiku ngapi huyo, anaonekana mkubwa
Mungu awakuzie
 
Back
Top Bottom