Nami nimeitwa baba

Nami nimeitwa baba

nimeolewa ndg mwaka wa 6 sasa...basi Inshaallah nakuomba uniombee kupitia surat hiyo km ulivyosema maana nateseka na upweke ndg yako.Ishaallah Mwenyezi Mungu akubariki na kukufanyia wepesi ktk shughuli zako...asante kwa upendo wako....nawe umejaaliwa wangapi?
Pole dada kama umeolewa Mungu atakupa mtoto mwenye kheri, nitakusaidia kusoma surat Maryam na Allah atapokea dua In Shaa Allah
 
nimeolewa ndg mwaka wa 6 sasa...basi Inshaallah nakuomba uniombee kupitia surat hiyo km ulivyosema maana nateseka na upweke ndg yako.Ishaallah Mwenyezi Mungu akubariki na kukufanyia wepesi ktk shughuli zako...asante kwa upendo wako....nawe umejaaliwa wangapi?

Usijali dada Mungu nimuweza wa yote....upweke wako soon utaisha
 
Ongera sana sababu sisi sote ni watoto wa mungu. Kwenda kupima DNA ni upungufu wa imani na mawazo.
 
Mwanangu siku ukiniletea mjukuu nitampenda sanaaaaa mda wote nitam-beba sitaki kumuona analia kama nilivyokufanyia wewe...ipo tu siku usijali

sawa baba !!! baba unaniruhusu nianze kumtafuta sasa hivi baba ...
 
Hongera sana rafiki. Uzuri wa Mungu hachelewi wala hawahi. Anakupa timely!
 
Usijali dada, Mungu atakupa kwa wakati. Kila jambo lina wakati wake, kuwa mvumilivu na ujiondoe upweke.
nimeolewa ndg mwaka wa 6 sasa...basi Inshaallah nakuomba uniombee kupitia surat hiyo km ulivyosema maana nateseka na upweke ndg yako.Ishaallah Mwenyezi Mungu akubariki na kukufanyia wepesi ktk shughuli zako...asante kwa upendo wako....nawe umejaaliwa wangapi?[quote name="utafiti" post=8606614]Pole dada kama umeolewa Mungu atakupa mtoto mwenye kheri, nitakusaidia kusoma surat Maryam na Allah atapokea dua In Shaa Allah
[/QUOTE]
 
kisumapai sheria za mitandao ya kijamii mingi, inakataza kuweka picha za watoto wadogo kwenye mitandao. ni ushauri tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom