Nami naja nipokeeni waungwana

Nami naja nipokeeni waungwana

dorry

Senior Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
136
Reaction score
28
Siku nyingi nimekuwa mgeni kwenye JF leo naingia rasmi kama member baada ya kiu ya kutoa maoni kwenye mijadala kunizidia. Naomba ushirikiano wenu wana JF wote.
 
Asanteni wana JF kwa kunipokea. Pamoja sana.
 
karibu sana, jisikie upo nyumbani sebuleni sio chumbani!!
 
Naungana nawe Dorry kubisha hodi kwa wana JF napenda kutoa na kuchangia hoja naomba mwongozo na ushirikiano wenu
 
Nami ni mgeni nipeni ushirikiano ndani ya JF nna kiu ya kupata changamoto mbali mbali
 
Karibu sana naamini utakuwa member mwenye hoja zilizoenda shule, Pia michango yako itakuwa ya kujenga pia kuelimisha. Karibu
 
Ndio ushapokelewa tena karibu uketi jamvini
 
karibu sana jf.but are you a sir or a madam?maana humu jf huwa inaleta utata kidogo ikifikia kwenye mada sensitive
 
Back
Top Bottom