Kaarufu ka udini Kapo wala sio kananukiaNami huko nyuma nilikuwa namheshimu,lakini hivi sasa haeleweki kiasi kwamba hata kaarufu ka udini kanaanza kuonekana kwenye mahandishi yake
msidanganyike na jina hahahaaaa ni mwenzenu japo si mshabiki wa kile chama chenuNami huko nyuma nilikuwa namheshimu,lakini hivi sasa haeleweki kiasi kwamba hata kaarufu ka udini kanaanza kuonekana kwenye mahandishi yake
Mimi namfahamu kwa karibu sana Maggidi Mjengwa, kiukweli kabisa yeye si mtu anayeweza kununuliwa kiurahisi. Nimefanya kazi naye kwenye sehemu mbalimbali za tasnia ya habari na ujenzi wa jamii,lakini sikuona dalili kama ni mtu anayekubali kiurahisi kuwa na "Bei" kwa mafisadi au watu wengine.
Lakini Makala zake za hivi karibuni kwenye gazeti la Raia Mwema na picha anazozitundika kwenye blugo yake zinanipa maswali mengi sana. Ni makala na picha zinazoonyesha kama vile Mjengwa ameshawapigia magoti Mafisadi. Sijui ni nini kimemkuta Maggid Mjengwa. Kwa dhati kabisa namuonea huruma.
Wakati mwingine bwana lazima tukubali kwamba humu ndani Jamii Forum tunaleta topis za ujinga ujinga tuu! Yaani ni ufyolo mtupu kwenda mbele!! Maggid ni mwandishi wa jamii na amefungua blog yake na anatoa makala kwa maoni yake mwenyewe, and, guess what? He is entitled to his own opinion!
If you do not like what he wants why do you open his and Michuzi's blogspots? At least they are doing something they passionately like - what the hell have you done? Sam pipo bwana!!!
Maggid, uuseli vanyalukolo vatige navalonge swela! Keep up with what you and Michuzi are doing in your blogspot and all the best!!

Kigarama, JF was ment to be the home of Great Thinkers, great Mind. Simple Mind discuss people, ordinary mind discuss events na great mind discuss ideas.Mimi namfahamu kwa karibu sana Maggidi Mjengwa, kiukweli kabisa yeye si mtu anayeweza kununuliwa kiurahisi. Nimefanya kazi naye kwenye sehemu mbalimbali za tasnia ya habari na ujenzi wa jamii,lakini sikuona dalili kama ni mtu anayekubali kiurahisi kuwa na "Bei" kwa mafisadi au watu wengine.
Lakini Makala zake za hivi karibuni kwenye gazeti la Raia Mwema na picha anazozitundika kwenye blugo yake zinanipa maswali mengi sana. Ni makala na picha zinazoonyesha kama vile Mjengwa ameshawapigia magoti Mafisadi. Sijui ni nini kimemkuta Maggid Mjengwa. Kwa dhati kabisa namuonea huruma.
vivyo hivyo upande ule mwingine kuna fisadi na viji-fisadi vyenzake lakini kwa kuwa hawako ccm wako upande ule mwengine basi sifa ya ufisadi inajificha. Na hapo ndipo kama ilivyosemwa hapo juu, kuna ulazima gani kufungua maoni ya mtu usiyoyataka? Je leo ukienda kwenye site ya ccmtz kisha utarudi hapa kutuelezea ulichokikuta huko? Kwanini mnashindwa kujadili mambo ya msingi kutoka vichwani mpaka muendee kwenye mawazo ya watu wengine? Nashangaa sana, mnaposhindwa kujenga hoja na badala yake mnataka muimbiwe nyimbo mnazozipenda.mjengwa ni ccm damu, ccm ni mafisadi, so mjengwa ni fisadi pia (in one way or another maake anaweza kuwa akawa hana mshiko kama el au ra)....huwa anauma na kupulizia ili aonekane yuko fair ila mapenzi yake kwa mafisadi wake huwa hayajifichi no matter what he writes..na kwamwe haweziliona hiklo cuz' he's totally immersed..
Kigarama, JF was ment to be the home of Great Thinkers, great Mind. Simple Mind discuss people, ordinary mind discuss events na great mind discuss ideas.
Kuna kitu kinaitwa freedom of information, freedom of expression na the right to information.
Freedom of information ni uhuru wa kupata habari zozote unazozitaka kama unavyolitumia jukwaa la JF kutembelea popote iwe ni kwenye siasa uchumi sheria au mambo ya kikubwa, huu ni uhuru, hivyo pia uko huru kutembelea blog yoyote utakaiona inakufaa iwe ni michuzi, mjengwa, JF au hata ze utamu, uhuru ni wako.
Freedom of expression ni uhuru wako binafsi kujieleza kuhusu jambo lolote, kutoa maoni, mtazama, mweleleko wako binafsi kuhusu chochote, kwa kifupi ni uhuru wa kusema chochote, kuhusu lolo, na popote bila kuvuka mipaka au kuingilia uhuru wa mtu mwingine. Hiki ndicho kina mjengwa, michuzi na wengine wote wanachokifanya, ni haki yao.
The right to information, hii sio uhuru, hii ni haki, sio option bali ni obligation. Ukiikosa haki hii, unauwezo hata kuidai mahakamani, maana hii ni moja ya stahili zako.
Kinachofanywa na michuzi na mjengwa na jf katika kutoa habari ni just a favour na sio right, sasa wengi wenye mitazama tofauti, wanataka kuigeza favour kuwa right, na hapo hapo kutaka kuzifanya opinion zao ndizo right, which is wrong.
Michuzi na blogu yake ni yake, hata kama atashinda saa 24 akiimba nyimbo za kusifu na mapambio kwa CCM, bado ni haki yake, na kama ni kweli, anapata manufaa fulani kwa kujikomba komba kwa CCM, au kwa JK kupata trip za nje, hivyo ni haki yake, ndio njia yake ya kuendesha maisha yake, tusimwingilie, huku ni kuingilia uhuru wake.
Vivyo hivyo kwa mjengwa na wengine, huu ni uhuru wao. Mwachenii Mjengwa atoe maoni yake atakavyo na kuendesha blog yake apendavyo, nasi tutumie uhuru wetu kutembelea blogs tuzipendazo, ziko maelfu kwa maelfu!.
Free
Ameshajibu hapo juu, mkuu Gagagigikoko uko wapi umuulize swali jingine???mwenyewe yuko wapi azijibu hizi tuhuma, maana navyojua ni mdau humu, aje ajitetee..