Wakati anarudi usiku alikuwa anafoka sana akisimangia namaliza ugal na hana uwezo wa kulea watu wengi..kwa umri wa miaka 5 niliokuwa nao nilkuwa nasikia na sjasahau had leo..ikawa destur kila anavoingia m inabd nisepe nkalale..khusu hyo kauli alikuwa anasema kabisa anahitaj mmoja..Ili eneo ndio jamaa hajatufafanulia vizuri. Je hayo maneno aliyasikia akiwa wapi? Inawezekana wazazi walikuwa wanaongelea chumbani, ila mtoto akawa anawasikiliza.
Mkuu we ndo uli leta thread ya kwenda kwenda beach ? au.naona siuoni iyo thread[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Nilisema wapi?halafu ndiyo akina nyinyi munaosema hamutaki kushughulikia wazazi wenu kwa kuwa siyo jukumu lenu.
Kuna vijana wengi sana wamelelewa na wazazi sio wao unadhan hawa watoto wote wanalelewa na biological father’s labda kama waishi sayari nyingineHakuna mwanaume anaekubali kulea mtoto wa mwanaume mwenzie,, mshukuru bibi amekulea makosa uliopitia kwa wazazi wako hakikisha wewe unarekebisha. Hakikisha unachagua mtu sasa utakayeweza alie tayari kuhudumia na kulea wanao.
Siku utakayompenda mama yako ndopo baraka zako zitakapoanzia, hutapata pesa kidogo kidogoWanaJF
Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.
Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.
Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.
Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Ngoja kwanza,WanaJF

Ina maana hapo angekubali ubaki na Mzee wa kambo wewe ndio ungekuw Mke wake sasa.. daah
Wanalala vizuri
Baba yako mzazi alikuwa wapi wakati huo?
Madhara Makubwa ya kuzaa na kutelekeza watoto huacha maumivu makali sana kwa jamii
Mlaumu baba yako kwa kuachana na mama yako mkateseka nyie.
Haya Ni Makubwa SanaKuna wamama huchagua wanaume kuliko watoto wao unalalaje na mtu hamtaki mwanao khaa
WanaJF
Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.
Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.
Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.
Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Kama Baba aliyemzaa haoni hasara kumtema na kumtupa je huyu ambaye hajamzaa ndiye utarajie atajali?Kuna wamama huchagua wanaume kuliko watoto wao unalalaje na mtu hamtaki mwanao khaa
Mimi sioni kosa la Mama hapo.Naomba utambue tu kuwa mama alikuwa anapita changamoto kubwa sana. Wewe unafikiria tu yeye kukaa na wewe wakati hata cha kukulisha pengine alikuwa hana.
Na kwa kuwa alikupeleka kwa bibi (Mama yake) na hapo ukapata malezi ya kawaida. Jua tu kuwa mama anakupenda sana na alikutafutia sehemu mbadala ya kukaa
Kuna hawa watoto wana achwa wawe watoto wa mtaani hao ndio habari tofauti
Kumbuka tu kuwa; Wapo wengi sana hata hapa jukwaani ambao wamelelewa na Bibi zao na wazazi wao wakiwepo....
Jua tu kuwa, Maisha yanachangamoto nyingi na ngumu sana, nafikiri ukifikisha umri wa miaka 40 hivi; utanielewa. Msamehe mama yako namtambue kama mama
Mama ni mtu pekee ambaye hata ukimnunulia sabuni ya shs 500 anakushukuru na kukuombea neema (unataka nini cha ziada?)
Baba wa Kambo angejichanganya Kulea mtoto kama huyu, angelia sanaNi jambo la mda tu! damu nzito kuliko maji
Yawezekana maamuzi yake yalikua ya kukuokoaWanaJF
Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.
Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.
Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.
Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Wanawake kizazi hiki kazi mnayo, mkikosea tu hesabu za ujanani basi huku uzeeni kuanzia 30+ mitihani mnayokuja kutana nayo si mchezo.Mh[emoji19] niCancel kuolewa, bint zangu wasije nichukia buure[emoji19][emoji19][emoji19] lakin kijana wa Yesu naomba unishauri mimi.....@ Mtu porii unazan mmama wa miaka 32 Ni sahihi kua single forever?
Hii fire inamaanisha Nini hope?
Usiseme hivyo madam wapo sana, mfano ni mimi mwenyewe, ukiwa una mapenzi na huruma unaweza kabisa, ,,naamini bado tupo wengi tu wenye kujaliHakuna mwanaume anaekubali kulea mtoto wa mwanaume mwenzie,, mshukuru bibi amekulea makosa uliopitia kwa wazazi wako hakikisha wewe unarekebisha. Hakikisha unachagua mtu sasa utakayeweza alie tayari kuhudumia na kulea wanao.