Easier said..especially kama wewe siyo muhusika.Kumchukia MTU ni tatizo kubwa Sana na linaweza kukutesa hasa pale utakapojua maisha ni UPENDO na vitu havina nguvu kumzidi MTU
Hasara za chuki
Utachelewa kuwa yule unayetaka kuwa
Utakuwa unafanya mambo kwa msukumo na sio kwa hiari yako.
Ikiwa Alifanya makosa usimchukie msamehe na umpende na kumjali ili utume ujumbe katika universe kuwa Love always win .
Mandela alisema hivi
"Kumchukia MTU ni kuamua kunywa sumu huku ukiamini itamuua unayemchukia"