Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,612
- 8,050
Atachaje Ndoa.yan ubebe mzigo wa mtu mwingine acha izo.
Alaumiwe nani sasa?Mzeey mbona unakurupuka sana unajua chanzo cha kuachana kwao? Mpaka unasema wakulaumiwa ni mwanaume
Kiroho pia sio kitu kizuri kuweka chuki moyoni,hii inaweza kukufungia baraka zako ukashindwa kufanikiwa kwenye maisha au hata ukawa na mikosi inakuandama...Kumchukia MTU ni tatizo kubwa Sana na linaweza kukutesa hasa pale utakapojua maisha ni UPENDO na vitu havina nguvu kumzidi MTU
Hasara za chuki
Utachelewa kuwa yule unayetaka kuwa
Utakuwa unafanya mambo kwa msukumo na sio kwa hiari yako.
Ikiwa Alifanya makosa usimchukie msamehe na umpende na kumjali ili utume ujumbe katika universe kuwa Love always win .
Mandela alisema hivi
"Kumchukia MTU ni kuamua kunywa sumu huku ukiamini itamuua unayemchukia"
Kiroho pia sio kitu kizuri kuweka chuki moyoni,hii inaweza kukufungia baraka zako ukashindwa kufanikiwa kwenye maisha au hata ukawa na mikosi inakuandama...
Hakuna bond kati yenu, ndio maana unafeel hivyo.
Kwa choices alizopewa, ilikuwa ni wazi wewe ndio wakuondoka. Unaweza kumlaumu ila jaribu kumuelewa. Usikae na kinyongo, jaribu kuflash ili maisha yaendelee.
Pole sana mkuu Mungu akusaidie hiyo chuki iishe ni sawa kitokua na bond nae ila kumchukia sio sawa msamehe tu.WanaJF
Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.
Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.
Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.
Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
sio sahihi kuwa single forever ila waweke wao mbele kabla ya ndoa yenyewe..kuwaacha nyuma n kuwatengenezea kilichotukuta sisiMhniCancel kuolewa, bint zangu wasije nichukia buure
lakin kijana wa Yesu naomba unishauri mimi.....@ Mtu porii unazan mmama wa miaka 32 Ni sahihi kua single forever?
Umeongea kwa hekima sana mkuuSema hao wazazi nao walikuwa mazuzu.
Haikuwa na sababu mtoto kujua mambo haya.
Ilikuwa ishu rahisi sana. Waongee wenyewé huko chumbani alafu makubaliano yao mtoto ataambiwa matokeo tuu kuwa,akaishi kwa Bibi kisha watoe sababu zingine kama kuna mambo wanaweka sawa.
Kumkataa mtoto mbele mtu ambaye sio mzazi wake ni jambo baya sana.
Ni sawa na Mwanaume amkatae mzazi wake mbele ya mkewe. Unafikiri inakuwaje?
Mama alipaswa aikimbie hiyo ndoa kama hekima ilishindikana
Of course hapo ndio shida ilipoanzia. Mleta mada hajatwambia mazingira yalikuwaje, ila kwa namna alivyoelezea ni kama vile palikuwa na kikao ambacho na yeye alishiriki (au labda alisikia mazungumzo yao).Sema hao wazazi nao walikuwa mazuzu.
Haikuwa na sababu mtoto kujua mambo haya.
Ilikuwa ishu rahisi sana. Waongee wenyewé huko chumbani alafu makubaliano yao mtoto ataambiwa matokeo tuu kuwa,akaishi kwa Bibi kisha watoe sababu zingine kama kuna mambo wanaweka sawa.
Kumkataa mtoto mbele mtu ambaye sio mzazi wake ni jambo baya sana.
Ni sawa na Mwanaume amkatae mzazi wake mbele ya mkewe. Unafikiri inakuwaje?
Mama alipaswa aikimbie hiyo ndoa kama hekima ilishindikana
Umeongea kwa hekima sana mkuu
Mwanao atatakiwa na uliyezaa naye tu.Kuna wamama huchagua wanaume kuliko watoto wao unalalaje na mtu hamtaki mwanao khaa
Culture i miss you.Ukikua utaelewa Mama asingeweza kumuacha mumewe kikubwa alikupeleka kwa Bibi na ukapata malezi bora, angalau mshukuru kwa kukuzaa.