Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,236
- 26,488
Yaan hongera ulijiongeza mapema,,, ungelazimisha angemtesa sana mwanaoNilipiga chini mtu kisa tu aliuliza mwanangu ataishi wapi, vi vema akae kwa mama yake au bibi yake.
Nikaona hii ni kenge maji.
WanaJF
Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.
Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.
Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.
Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Haya tujuze sasa... ili tupime.Mzeey mbona unakurupuka sana unajua chanzo cha kuachana kwao? Mpaka unasema wakulaumiwa ni mwanaume
Km aliyechagua hilo chaguo ni mama yake?Mlaumu baba yako kwa kuachana na mama yako mkateseka nyie.
Ili eneo ndio jamaa hajatufafanulia vizuri. Je hayo maneno aliyasikia akiwa wapi? Inawezekana wazazi walikuwa wanaongelea chumbani, ila mtoto akawa anawasikiliza.Ongea na mkeo chumbani, eleza hofu yako, eleza suluhisho kisha toa maamuzi.
Kisha mama atekeleze sehemu yake kwa kuongea na kijana bila kuleta matàtizo.
👊👊👊Nimeipenda hii kutoka kwa Legend
👊👊👊👊Amen
kuna wengine huchagua mali/vitu kuliko watoto wao, imagine mwanaume kasafiri kwenda kutafuta. huku nyuma mke kauza kila kitu cha ndani na kuwaacha watoto kwa jirani akiwemwo mtoto wa mwaka na miezi miwili.Kuna wamama huchagua wanaume kuliko watoto wao unalalaje na mtu hamtaki mwanao khaa
halafu ndiyo akina nyinyi munaosema hamutaki kushughulikia wazazi wenu kwa kuwa siyo jukumu lenu.Kuna wamama huchagua wanaume kuliko watoto wao unalalaje na mtu hamtaki mwanao khaa
Ili eneo ndio jamaa hajatufafanulia vizuri. Je hayo maneno aliyasikia akiwa wapi? Inawezekana wazazi walikuwa wanaongelea chumbani, ila mtoto akawa anawasikiliza.
Kabisa chief,Hakuna bond kati yenu, ndio maana unafeel hivyo.
Kwa choices alizopewa, ilikuwa ni wazi wewe ndio wakuondoka. Unaweza kumlaumu ila jaribu kumuelewa. Usikae na kinyongo, jaribu kuflash ili maisha yaendelee.