Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Kama iliyompiga Akwilina..ilienda juu ikashuka chini kisha ikakata kona hadi kwenye gari na kumfuata Akwilina. Awamu yetu ya 5 imejaa miujiza hii. Kama ni ya kishetani Mungu anajua cha kufanya.
Rudi kwenye Mada Jomba usinitoe nje ya mstari. We unamjua aliyepiga risasi ya Akwilina alikuwa amekaa wapi
 
Kusema na kuwa wakala wake Ni vitu viwili tofauti
Ila walichosema Serikali imekitambua na kukipigia vigelegele .
Alafu hivi kwanini tunakua na mashirika,makampuni na balozi za hizo nchi za kibeberu?
Wafukuzwe tu
 
Umeshasema mashirika na mabalozi hiyo ni kutimiza tu matakwa ya kimataifa, Ila shida inakuwa pale unapokuwa wakala wa mabeberu kutumika dhidi ya nchi yako, mfano wa lisu zito kwenye madini Ni laana mbaya sana
 
Mawakala wa mabeberu ni mashirika,taasisi,na balozi au ili naro ulijui comrade.!Pia kuna mawakala waliokua wanamfunga Lissu kisa anawatetea wananchi wanao ishi karibu na Migodi.Ili unarijua?
Mwisho,mawakala wa mabeberu walitengeneza mikataba hiyo hiyo ya kibeberu wakiongozwa na Serikali inayo ongozwa na CCM.
PILI ata mikataba ya sasa ni ile ile tu kilichobadirika ni jina basi
 
Mbona toka comment yangu ya kwanza uliyo Ni qoute nimesema wazi,na nasema Tena chadema na act Ni mawakala wa mabeberu hilo liko wazi
 
Ni kweli ila CCM ni mawakala wa udikteta ili naro hamna wa kubishia kabisa.
 
Hotuba ya nia ya kutaka Urais aliitoa akiwa nchi za nje, pia fomu nazo kuja kuchukua amemtuma mwakilishi maana tunaona wengi wao wanakuja kuchukua wao wenyewe.

Je, inawezekana na kampeni atatuma wawakilishi wampigie kampeni na kama akipita yeye ni moja kwa moja anapitiliza mpaka Ikulu?
 
Back
Top Bottom