Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Kwani ajali ikitokea lazima wote wafe
Sio lazima Ila inashangaza kwa hili, risasi zipigwe mlango wa abiria upande wa kushoto zimjeruhi abiria mguu wa kulia ziende kuharibu mlango wa dereva,halafu dereva asipate hata mkwaruzo,inafikirisha zaidi dereva kufichwa na kutoroshwa hii hata kwenye filamu za James Bond hatujaona!!!
 
Kinachokushangaza ni nini?? Waliomuua mbona wako wazi na nyoyo zinawasuta kila siku??
 
Maajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Hata kutwangwa risasi 18 na mtu kuwa hai ni maajabu ya dunia. Au risasi za mabua.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Huy
hakuna haja ya ulinzi! Mnyampaa tayari ameumia hana sifa za urais!! nani atampigia kura? wewe?
Huyo ALIPIGWA risasi na watu wabaya wenye mamlaka ndio akapata hiyo hitilafu ya viungo je wewe siku ukipata ajali ukawa Kama yeye je hiyo ikuondolee sifa ya uongozi? Kumbuka hujafa hujaumbika.
 
Tundu list hata mumuite majina mabaya yote duniani atazidi kupendwa kwasababu mlitaka kumuua na uuaji ni dhambi mbaya dunia nzima hata hao waliokuja CCM kwa kuunga mkono juhudi na hao waliokuja ccm toka zamani hawakubaliani kabisa na mfumo mnaotumia kuendesha taifa isipokuwa kanuni za maisha ya kijamii ndio zinazowafanya wajifanye ni wanaccm kanuni hizo ni...

1. If you can't fight them join them.

2. Njaa ya tumbo na watoto wasome.

Zaidi ya hapo hakuna mtu mwenye akili timamu anaishabikia CCM ya Magufuli hakika nawaambia.

Subirini muda wenu wa mamlaka uishe na uoga mlioupandikiza kwa Jamii kupitia utekaji na risasi uishe ndio mtaujua umma na unafiki wa wawatanzania.Mtatukumbuka cc tunaowaambia ukweli kila siku.

Wakati c milele.
 
Maajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Umesahau na risasi zenyewe zilipiga mguu wakulia tu wakati risasi hizo zilitokea upande wa kushoto. Ni maajabu ya dunia haya..risasi zilitokea kushoto zikapinda kona zikazunguka zikapiga upande wa kulia
 
Maajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Mhhhhhhhhhhh. Watakuwa ni wahalifu wajanja sana
 
Back
Top Bottom