Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

NASAPOTI UPINZANI ILA SIDHANI KAMA WAKO TAYARI KUONGOZA NCHI, LABDA MIAKA 20 IJAYO
Usapoti wako ni upi sasa mkuu?
Kama kweli una support hakikisha upinzani uwe tayari kuongoza nchi sasa hivi na miaka ya karibuni na si hiyo 20 uligosema
 
Silaha alizonazo Lissu.
1, Kujiamini kupita maelezo.
2, uwezo wa kuzungumza
3, upangiliaji wa maneno
4. kunusa kifo kisha kurudi kuendelea na maisha.(kumemuondezea umaarufu zaidi)
5. Huruma kwa jamii kutokana na mateso ya watesi wake.
 
Ben Saanane mlimzika wapi ninyi umbwa? Usidhani watanzania hawafamu ukatili wa hii serikali ya kiimla iliyotapakaa damu za watu wasio na hatia.
Muulize mbowe atakujibu pia kuhusu chacha wangwe nyumbu wewe
 
Muulize mbowe atakujibu pia kuhusu chacha wangwe nyumbu wewe
Hiyo serikali yako inayotawala kwa MKONO WA CHUMA ingemuacha tu akiendelea kutamba mitaani hadi muda huu? Hizo stori za namna hiyo muwe mnasimuliana huko na wajinga wenzio akina polepole, Kunguru we.
 
Back
Top Bottom