miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
mimi huwa nahisi nimefanya kosa kumfurahisha huyu mwanaume na mawazo kibao negative tuHii ya kujuta na kulia na kuwaza kama umechezewa ni concept ngeni sana kwangu. Sielewi! Ni kwamb ou were coerced into sexa ama ulisex uki expect mengi ama majuto na kilio hutokana na nini.
From my understanding and experience sex is meant to be enjoyable and safe between two equal parties.
Hujakutana na wasanii wewe...yaani ulianza kulia na me naanza kulia hadi nagalagala
Habari zenu wapendwa.
Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.
Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.
Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?
Ushauri jamani.
Unalia kwamba ...unasikia Utamu?
Unalia kwamba..unaumia?
Unalia kwamba hujamzoea aliyekuliza?
Unalia kwamba...Umekunwa vizuri? Au
Unalia kwamba...?
Kwaiyo mnapokuwa pamoja na mkajikuta wote mnahamu ya kupeana raha je,huwa hauwazi kuhusu tatizo lako hilo au ukimaliza tu ndiyo unajikuta unaanza kulia?maana wengine tatizo lao hulia sauti za wanyama wapofanya mapenzi ila wanakuwa hawajitambu
Yaelekea hujatulia..."tatizo huisha nikishamzoea"...Unao wangapi?
sasa mwanaume akikuzingua uendelee kung'ang'ania tu kwa sababu ya kuogopa kulia? si kwamba napenda kuwa na wengi, ni kutofautiana tu... mnajikuta mmeachana then maisha yanaedeleaDawa yake ndogo tu: Acha kubadilisha boyfriends mara kwa mara. Ukilia mara moja ndani ya miaka kama mitatu sioni ubaya wake.
mimi huwa nahisi nimefanya kosa kumfurahisha huyu mwanaume na mawazo kibao negative tu
Kwaiyo hata kama huyo mwanaume atakuwa amekukuna vizuri bado tu utajihisi hivyohivyo tu?
We miss chagga inamaana sio kweli?
Nahisi harufu ya mbege humu...tayari rematch inaandaliwa next wikienda..lolyawezekana, mana nakumbuka ulinambia kama wanifananisha alaf hukujib tena, embu ni PM kwanza....