Nalaani Mbunge Condester Michael kutolewa ndani ya Bunge kisa Mavazi, ameonewa na kudhalilishwa kwa makusudi

Hussein ana lake jambo tu. Kama hilo vazi halina heshima, tuvae nini sasa jamani?
 
Reactions: mmh
Sio mara ya kwanza nakumbuka hata Amina chifupa alishawahi kutolewa bungeni kwa masuala ya mavazi. Kila mkionacho mnakurupuka kuanzisha nyuzi duh Si mlisusa kuangalia bunge jamani
 
Huyu anawafanya wabunge washindwe kutoa hoja badala yake wamkomalie mwenyewe
 
Picha ya tatu inaonyesha hali halisi ya the way watanzania hatuwezi kumind our own business.
 
Huyu Mbunge katuaibisha sana wana Momba, yaaani badala ya kuvaa nguo zinazo endana na Bunge letu tukufu yeye anavaa nguo za casino!!
Hata kama hujaolewa lkn unapaswa ujiheshimi.

lkn pia kama alivyo sema Spika kuwa kuna kina MAMA pia huvaa nguo zisizo na heshima wala adabu.
unavaaje suruali imeshika makalio na mapaja halafu unaenda BUNGENI?!! huo ni utovu wa nidhamu na kulikosea heshima jengo la Bunge.

Sehemu zenye Heshima ambazo hatutegemei Mwanamke mwenye kujiheshimu kuvaa mavazi ya ajabu ni;

1. IKULU
2. JESHINI
3.BUNGENI
4.MAHAKAMANI.
maeneo yote hayo niliyo tlyataja hapo juu yanaongozwa na nidhamu za mavazi.
ukitaka kuvaa vimini vyako na tight nenda casino.

Spika katoa maelekezo kuwa kuanzia kesho yeyote atakaye kuja Bungeni huku amevaa nguo zilizo bana makalio asiruhusiwe kuingia getini, lkn pia tunawaomba wawe wanaturushia picha zao ili tuwaweke kwenye orodha mwaka 2025.
 
Ukaguzi ufanyike,
Msukuma huanza na suruali ya track halafu suruali yenyewe.
 
Ameonewa sana
 
Kwa mavazi haya I swear mtoa hoja ana lake jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…